Wakuu,
Kuna masuala ya kiuchumi yanayopaswa kujadiliwa kwa kina kabla ya Serikali kuamua kuongeza tozo nyingine kwa wananchi. Kauli ya Waziri wa Ujenzi, Eng. Massanja Kadogosa, kuhusu tozo za barabara inapaswa kutufanya tujiulize maswali muhimu: Je, Serikali imeshindwa kuongeza ufanisi katika...