Wapo vijana wanaopita mitaani wanaodai wametumwa na serikali za mitaa, kwa lengo kuchukuwa namba za luku za kila mita na majina ya wamiliki, wakidai mapato hayo yanataka kuondolewa na kurudishwa katika halmashauri, je hili ni la kweli?
Ushauri wangu kama ni la kweli, je kwanini mapato hayo...