Wakuu hivi hizi tozo za miamala kwenye bank, tozo kwenye tigo pesa, tutanyooka nasema. Ila mshauri wa uchumi wa nchi hii ni kiboko pamoja na bunge pia kama walikaa na kupitisha hili. Naamanisha kwamba ni maaumivu, hawa wabunge ni wabinafsi, kwa ufupi hawapo kwa ajili ya wananchi, ni wakati sasa...