Hii leo, Julai 15 2021 gharama ya miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu nchini Tanzania imepanda baada ya serikali kupandisha tozo ya miamala hiyo.
Sintofahamu kubwa inashuhudiwa hii leo kwa wananchi wa Tanzania ambao wengi wao ni watumiaji wakubwa wa huduma hiyo.
Hali hii imepelekea...
Leo tarehe 15 Julai 2021, Selikari isiyopenda kukusanya kodi ya dhulma kupitia wizara yake ya fedha imeanza rasmi kutekeleza makato ya kodi ya kizalendo inayokatwa moja kwa moja katika miamala ya kifedha ya mitandao ya simu. Sina tatizo na kodi hiyo ila tuna mengi ya kujadili kuhusiana na...
Kutuma Tshs 300000
Ada ya mtandao Tshs 1500
Tozo za serikali Tshs 3500
JUMLA TSHS 5000
Kutuma Tshs 300000 mtandao tofauti
Ada ya mtandao Tshs 2300
Tozo za serikali Tshs 3500
JUMLA TSHS 5800
Kutoa Tshs 300000
Ada ya mtandaoTshs 6500
Tozo za serikali Tshs 3500
JUMLA TSHS 10000
Ukweli ni Kwamba...
Ni bora kupata 1% kutoka kwenye elfu moja kuliko kupata 50% kutoka kwenye 10 (hapo utaona kwenye 1% utapata 10 na kwenye percent 50% utapata 5.
Serikali imeamua kuongeza mapato kupitia miamala ya simu; unless otherwise sababu ni kuziua hizi kampuni za simu ili ushindani urudi kwenye mabenki...
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana...
"Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa 2500, kama unaweza kutuma 10,000 kwanini usichangie shughuli za maendeleo?”
"Mimi naunga mkono dira ya...
Kodi ya SALIO
Hapa serikali ilipaswa kufanya utafiti ingegundua kuwa watu wengi wanaweka salio kupitia nipige tafu,songesha, na nyingine za kukopa kupitia makampuni ya simu..yaani wananchi hawana uwezo wa kununua hata vocha hasa baada ya sekta binafsi kugandamizwa na awamu ya tano! Watu...
Mbunge wa Ilala Azzan Zungu ameunga mkono kodi ya makato kwenye mihamala ya simu na kusema serikali inapoteza mapato makubwa sana, amedai makampuni yana lobby kuwa wananchi wataumia kumbe watakoumia ni wao, amewataka wananchi kuacha kulalamikia kodi kwani serikali inategemea kodi kufanya...
Dar es Salaam. Kuna kila dalili kwamba Serikali inajipanga kufuta kodi ya Sh1,000 kila mwezi kwa wamiliki wa laini za simu baada ya kuwapo kwa malalamiko kutoka kwa wananchi, taasisi na baadhi ya kampuni za simu nchini.
Hiyo inatokana na kauli ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.