tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
  2. Tatizo la Tanzania ni ubinafsi na si tozo wala CCM

    By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake. Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania. Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai. Chanzo cha tozo ni matokeo ya kuwindana na sasahiv tumepigwa KO
  3. D

    Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

    Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri! Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida! Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia! Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo...
  4. S

    Gerson Msigwa anavyotetea tozo ya serikali

    Hizi ni tweets zake kuhusiana na tozo zinazolalamkiwa:
  5. S

    Agosti 30 kila mtu kwa Imani yake na mahala alipo tumlilie Mungu dhidi ya TOZO

    Watanzania tuna silka yetu ama ukipenda tabia yetu iliyozoeleka ya kutokupigana hasa tunapokuwa kwenye mtanziko ama mkwamo wa Jambo lolote lile. Huu siyo uzumbukuku, uzoba ama uzwazwa kama wengi wasemavyo bali ni karama toka kwa mola waliopewa watu wa taifa hili. Nchi hii ni Kisiwa cha baraka...
  6. PENDEKEZO: Tozo ya Kubadilisha pesa za Kigeni!

    Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini. NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
  7. M

    Mimi naunga mkono Tozo kwa watanzania na iongezwe

    Wengi wanaolialia kuhusu Tozo lukuki wameichagua CCM na wanaishabikia wakuidhani wanaikomoa CHADEMA. Na muhimiza huyo Mwigulu azidishe tozo aongeze zaidi ya maradufu asiishie hapo tu atoze watu kodi hadi wanapotoka majumbani mwao. No mercy. Watu wakila mlo mara moja kila baada ya siku tatu...
  8. Mnaambiwa: Msijichanganye kwenye makato mengine ya watoa huduma yaani benki/kampuni ya simu na VAT. Tozo ya serikali inajitegemea

    Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/- Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au...
  9. Wizara ya Fedha kutoa ufafanuzi dhidi ya "upotoshaji wa tozo"

    Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya. Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
  10. N

    Singida wanafaidi tozo kuliko mkoa wowote

    Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo...
  11. Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  12. Wanazuoni: Tozo mpya ni batili hazifai. Mwigulu Nchemba amekurupuka. Double taxation haikubaliki

    Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho. 👇 Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi...
  13. Matumizi makubwa ya serikali ndio chanzo cha hizi kodi na tozo za uonevu

    Hakika hii Tanzania sasa imekuwa balaa. Serikali imekosa ubunifu kabisa wa vyanzo vya mapato. Haiwezekani kitu kimoja kilipiwe kodi au tozo mbili. Hivi karibuni Serikali imekuja na tozo ambayo mweka fedha benki anakatwa kila anapotoa fedha ktk akaunti yake na benki nayo wakati huo huo inakata...
  14. M

    Je yawezekana hali ya kifedha ya Serikali ni Mbaya? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa?

    Hello comrade nasawalimu Kwa upendo naomba tuwaze hili Kwa pamoja, je yawezekana Serikali hali yake kifedha si njema kukidhi majukumu yake? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa? Je kuna mahali Kodi stahiki haikusanywi Kwa usahihi? Shida vyanzo? Budgetary long-term approaches za kikodi...
  15. Azzan Zungu, umetubebesha mzigo wa tozo watanzania

    Wewe ndo ulipeleka bungeni kwa mara ya kwanza pendekezo hili la tozo. Umesababisha watanzania tuwe tunalipa kodi mara mbili mbili. Umefungua mlango ambao kila mtu mwenye roho mbaya na roho ya wizi waanze kupita kwenye mlango huo. Nisiongee Sana niende tu moja kwa moja kwenye lengo. Binafsi...
  16. N

    Serikali kuendelea kununua magari ya kifahari 'V8' huku ikitegemea kukusanya tozo ni kukosa uwajibikaji

    Kama kichwa cha mada kinavyoeleza hili liko wazi ni kukosa uwajibikaji kwa wananchi. Kama hali imekuwa ngumu hadi kulazimika kuwakamua wananchi tozo hii ingeonekana pia kwa serikali kubana matumizi yasiyo na tija ikiwemo hii ya maafisa kutumia magari ya anasa ambayo yanatakiwa kugharamiwa na...
  17. Kwa hizi tozo, siyo Mama Samia ni Rais Samia

    Wasomi: Tozo mpya ya benki ni batili, ifutwe SUNDAY AUGUST 21 2022 Summary Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi...
  18. S

    Ukweli Mchungu: Utitiri wa TOZO, PAYE kubwa n.k, wa kulaumiwa ni sisi Watanzania wenyewe

    Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi watanzania. Kwanini nasema hivi? Wakati wa Mwendazake, watumishi ambao walikuwa ni wafaidika wa Bodi...
  19. Hivi hawakuangalia hili la tozo kwa wafanyakazi?

    Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa sheria za kikodi upaswi kufanya double taxation,Kama ikiendelea wafanyakazi mtaumia
  20. B

    Tozo zinalemaza serikali kubuni miradi mipya

    Habari za muda huu Wana Jamvi, Kutokana na Hali hii inayo endelea ambapo Kila kunapo kuchwa serikali yetu inakuja na TOZO mpya za Kila kitu hii inapelekea serikali kuji sahau na kumuumiza mwananchi. Kwa Sasa siyo Tena makato ya simu Hadi tulipo kimbilia benk Hali ni hiyo hiyo Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…