Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.
Faustine Kimath, katika chapisho lake la Julai 01, 2021, anasema, mfumo wa kodi nchini Tanzania unajumuisha aina mbalimbali za kodi zikiwemo Kodi za Moja Kwa Moja (“Direct Taxes”) na Kodi zisizo za moja kwa moja (“Indirect Taxes”).
Historia Fupi ya mfumo wa Kodi Tanzania
Kwa mujibu wa chapisho...
Serikali ina wajibu na inapaswa kubeba jukumu la kuyaondoa malalamiko yetu wananchi wao dhidi yao.
Haipaswi kuyafumbia macho na kuziba masikio wasiyasikie, kwani yanaweza hata kuhatarisha utulivu na ustawi wetu wa kijamii.
Uwazi kadri iwezekanavyo katika makusanyo ya tozo zetu inaweza...
Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili isiumize wananchi
Ikusanye kodi kweny vilevi na sigara.
Serikali itumie rasilimali zake kujiendesha mf.
Madini, gesi, utalii, bandari n.k.
Haiwezekani madin yetu wachimbe wazungu afu sisi tupewe gawio hii inaikosesha serikali pesa ambazo zingefuta...
HATUTAKI AKOPE! WALA HATUTAKI TOZO!
Anaandika, Robert Heriel
Nikiwashauri tuvamie mataifa mengine mnaniona Popoma! Mnaona siwezi kufikiri vizuri! Sawa bhana! Ipo siku mtanielewa hata Kwa kuchelewa. Jueni kuwa Taikon hafikirii akiwa ananjaa au akiwa ameshiba. Ninafikiria nikiwa nimetuliza...
Peter Kibatala, Wakili anayemtetea Jonas Afumwisye, aliyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) amesema, mtumishi huyo aliyefukuzwa kazi, amekamatwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Afumwisye alifukuzwa kazi Agosti 19, 2022 na Bodi ya TRC kwa madai ya kupinga tozo za...
Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho?
au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa?
Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama )...
Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ?
klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina
Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji
Bila...
Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI.
Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao...
Mzalendo nambari moja nchii hii mwenye uchungu kuliko watanzania wote. Mchumi grade A, anayepambana kwa hali na mali kuwatoa watanzania kwenye umaskini, anayelia machozi ya damu akiwaona maskini field marshall Mwigulu aliteua mabalozi watatu wa kodi kuelimisha watanzania.
Hamisa Mobetto, Mbwana...
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
Nilijisajili kwenye benki kama Tatu hivi nikawa naweka akiba zangu na Benki ndio ilikuwa kimbilio la mwisho ila napo wamevamia, juzi kukaa tu kuchek bank statement nikakuta NMB wamenilima Tozo ya maana yaani pesa ambayo sikutarajia kabisa kukatwa maana kwenye miamala ya sim tayari nishakatwa...
Kaimu mkurugenzi wa Vodacom, Hilda Bujiku amesema tozo za miamala ya simu ilivyoanza walipoteza asilimia 30 ya mapato ya kampuni ila wanategemea miamala itarudi.
Hilda amesema kuna watu wameacha kutumia huduma ya kutuma pesa kupitia mitandao ya simu na wapo waliopunguza idadi ya miamala...
Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria.
Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
Hatimae nahisi nimetegua Kitendawili cha Tozo!
Maumivu ni makubwa hasa kwa wale ambao ndio Kwanza wanaanza maisha achana na vizazi vilivyotangulia. Lakini kwa nini hali iwe hivi? Kwa nini kipindi hichi? Je, ni mpaka lini?
Jibu ni hili hapa.
Kabda ya kulaumu tutulize jazba na tujiulize nani...
SERIKALI WEKENI TOZO KWENYE VIFAA VYA UPAKO
Napenda kuishauri serikali kupitia mamlaka ya mapato tanzania kuweka tozo kwenye biashara ya vifaa vya upako inayofanyika kwenye makanisa baadhi ya kilokole,siku za karibuni kumezuka biashara yenye kuingiza mabilioni ya pesa inayofanywa na baadhi ya...
Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto!
Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery".
Wakati huo huo wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.