Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.
Serikali imewaonea huruma wafanyakazi wanaolipwa kima cha chini lakini bado wanakatwa PAYE.
Ikaona si sawa mtu alipwe laki 3 yenye kodi wakati kuna bodaboda wana ingiza mpaka laki 6 kwa mwezi na hawalipi kodi ya kipato.
Sasa namna ya kuchukua kodi kwa watu ambao wana kipato na hawalipi kodi...
"...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji naelewa ninacho kizungumza."
Amesema Waziri Mwigulu.
1.Vifurushi vya simu(vocha pia)
2. Vifurushi vya televisheni
3. Usafiri wa daladala
4. Pikipiki
5. Bajaji
6. Mafuta ya kupikia
7. Nafaka zote
8. Soda
9. Sigara
10. Pombe zote
Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana.
My.
Mwigulu hata...
Kuweka usimamizi mzuri wa fedha za umma, kuhakikisha fedha zote zitokanazo na ushuru, madini, utalii na kodi mbalimbali zinaingia mahali stahiki.
Kupunguza matumizi na gharama zisizo za lazima kama kununua magari ya gharama kubwa, safari zisizo za lazima kwa viongozi, na kupunguza misururu ya...
Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi.
Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali inazidi kuwaumbua CHADEMA ambao kila siku ni kudandia hoja na kupotosha 😂😂.
CHADEMA kazi mnayo...
Sina mengi ujumbe uko wazi Singida Big Stars ni mfano wa hizo apartments za madolari, acha kulia Kwa uhuni wenu jikite na hoja, akili za kitozo tozo ni uzuzu, toa hata arguments za kiakili et ooh tozo ni maoni ya wananchi, ujinga wa kizuzu double taxation ni ya wananchi wa kawaida?
Mbona hoja...
Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi, tunaendesha miradi ni vichaka tuu vya kujifichia ila ukweli ndiyo huo kwamba VAT ime-double.
Sasa kwa hali ya uchumi ilivyo ni mzigo tosha kwa mwananchi...
Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi!
Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
Wigo Wa Kodi Uongezwe Kuelekea Wapi?
Kwa miaka mingi tumekua tukiilalamikia serikali iongeze wigo wa kodi na isiangalie vyanzo vile vile vilivyo zoeleka kama vinywaji baridi, pombe, sigara na mafuta ya petroli. Kwa bahati sasa hivi vitu vile vilivyozoeleka vingi havijaguswa na vingine...
Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza
👇
===
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa...
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba leo akiwa Dodoma amekutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi ishu ambayo imekua gumzo nchini kuhusu masuala ya tozo kwenye miamala ya simu na benki ambapo hizi ni baadhi ya nukuu ya alichokisema.
“Kwanini mwaka huu tozo ziliendelea tena...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Bashungwa ameyasema hayo leo Septemba Mosi wakati...
Kwanza wamefanya press kwa kukurupuka tu. Hatujaelewa jambo lolote.
Pili, wamepunguza kodi ya madini toka 6% hadi 3%. Wakatutwisha mizigo hadi kwenye tumishahara ambato tusharipia kodi. Huu ni wizi na kukosa usimamizi wa rasilimali.
Kwa nini sasa tozo zinafanya kazi kubwa kuliko hata PAYE...
Salama wandugu
Nimemsikiliza Mwigulu akijieleza kuhusu tozo hakuna cha maana anachoeleza zaidi ya kumung'unya maneno
tulishasema ondoeni tozo siyo kuilemba lemba na kuipaka wanja ionekane kama asali wakati ni pilipili,kodi zilizopo zinatosha kuendesha nchi ila nyie mnacheka na wafanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.