Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.
Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
Kila ukinunua vocha na kuingiza kwenye simu ili usajili kifurushi unakumbana na tozo/makato ambayo ukija sasa kusajili kifurushi Mtandao unakwambia huna salio la kutosha kusajili kifurushi.
Nafikiri tarrifs za kusajili vifurushi ziangaliwe upya, mfano, vocha ikiwa na thamani ya Tshs.2000...
Tunaimbiwa mapambio mazuri kila siku kwa sababu ya Tozo.
Tozo inajenga madarasa
Tozo inajenga vituo vya afya
Tozo sijui inajenga barabara
Tozo imeleta sijui vitu kedekede
Wakati huo huo tunakopa mabilioni na mabilioni kutoka taaisisi mbalimbali za fedha.
Sasa hayo madarasa yanajengwa na...
Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.
Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi...
LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO:
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye...
Kuna sms inatumwa na NMB kuwa wanakata tozo ya serikali kuanzia September 8 hadi Oktoba 10 ya miamala cha ajabu hawasemi wanakata Tsh ngapi au asilimia ngapi sasa kupitia hili watu wasije ibiwa pesa zao bank kwa kigezo tozo maana sasa tozo zimezidi.
Mliotumiwa SMS kama hii na mna ufahamu na...
Jana nilikuwa kijijini kwetu ndani ndani huko, umeme umefika pongezi kwa REA.
Sasa hapa kwa bibi yangu huwa wananunua umeme wa 2000 kila unapokwisha. Walikuwa wanafanya hivyo kabla na baada ya tozo ila jana imeshindikana.
Ikabidi mimi niongezee niwape elfu 10, ile kulipia tu wakakatwa deni la...
Serikali yetu inajikanganya sana. Tuliambiwa lengo la tozo ni kujenga madarasa nchi nzima. Kwenye hotuba ya Rais wetu mpendwa, akasema kunakifedha kakipata mahala. Cha ajabu serikali inakuja na mpango wa kujenga madarasa kila jimbo kwa fedha ya mkopo wa corona! Imenishangaza sana! Hivi kweli...
Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
Nimeona sehemu fulani Waziri wa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu akisitisha tozo ya maegesho ya magari kwa njia ya kielektroniki kutokana na malalamiko ya wengi kuzidi.
Hiyo ni sehemu tu ya malalamiko ya Watanzania walio wengi ambao kwa sasa wanaelemewa na tozo. Tangu serikali hii ya awamu ya sita...
1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe.
2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa (kerosene).
3. Lakini cha ajabu, badala ya bei kupungua ndiyo zimeongezeka kwa wastani wa shilingi...
Taarifa ya EWURA iliyopandisha bei ya mafuta kwa kiasi cha Shilingi 12 kwa lita eti inatufahamisha kuwa kuna punguzo la tozo katika bidhaa za mafuta!
Ninajiuliza sasa kama kweli tozo zimepunguzwa si ina maana bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi cha Shilingi 12 zilizotajwa?
Ninajiuliza sasa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia, Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini.
Uamuzi huo ulifikiwa leo, tarehe 5 Oktoba 2021, baada ya Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
Ni ukweli usiopingika hali ya maisha ya watu yamebadilika na imezidi kuwa mbaya zaidi, hali ya uchumi imeporoka sana wala hakuna pa kupumulia, na ni kweli vitu vimepanda bei kuliko mwanzo na Zaidi ya yote wananchi tumetwishwa Msalaba mkubwa wa Kulipia kodi kila huduma tunayoifanya hasa katika...
SAMIA SULUHU apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo) - (SSH turning Tanzania into a Donor Nation through Social costs).
Na Galila Wabanhu.
Kwanza watanzania tutambue kuwa, Maendeleo endelevu ni mkakati wa kuboresha hali ya maisha wakati wa kuhifadhi...
Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam
Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
LUCAS MESHACK
Hivi karibuni serikali kupitia Bunge lilipitisha sheria ya tozo katika mihamala ya simu kwa njia ya simu. Sheria hiyo ilitokana na mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja na sheria ya fedha ilipelekea kuweka tozo katika miamala ya fedha inayofanywa kwa njia ya simu, jambo...
Wakuu Kwema!!!
Tutozane.
Tukamuane,
Tuzinguane,
Tuchapane,
Tuchanane,
Lakini tusiuane.
Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha Uzalendo, sijui maendeleo, sijui vitu gani.
Nchi sasa inaenda Sawa Sawa, mambo yamenyooka. Mapungufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.