Wakuu Kwema!!!
Tutozane.
Tukamuane,
Tuzinguane,
Tuchapane,
Tuchanane,
Lakini tusiuane.
Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha Uzalendo, sijui maendeleo, sijui vitu gani.
Nchi sasa inaenda Sawa Sawa, mambo yamenyooka. Mapungufu...