tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. mackj

    SoC04 Serikali iagize mafuta kwa niaba ya wafanya biashara na kuwauzia bila kodi wala tozo ili kukabili mfumuko wa bei

    Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa Picha (chanzo ) google Hapo nyuma wafanya...
  2. BARD AI

    Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
  3. Imalamawazo

    Tunataka kubadili Sheria ya Tozo ya Warfage kwa manufaa ya nani?

    Katika mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi 2024/25 baadhi ya wabunge wanalalamika tozo ya warfage kukusanywa na TRA. Wanataka sheria ibadilike ili tozo hiyo ikusanywe na TPA. Ikumbukwe kuwa hiyo tozo ya warfage ilikuwa inakusanywa na TPA lakini kutokana na malalamiko ya wadau juu ya bandari...
  4. N

    Ni haki yetu kutangaziwa kama tozo zimerudi kwenye malipo ya VING'AMUZI.. (Ada, Vat na Kodi)

    Kwani mnatuchukulia sisi poa, kwani itawagharimu pesa ngapi kututangazia kuwa tozo zimerudi kwenye malipo ya ving'amuzi? Leo nimefanya malipo kulipia king'amuzi risiti iliyorudi imeonesha nimekatwa Ada na Vat... au kuna tatizo kwenye uandishi wa hiyo risiti.. Kama kuna yoyote aliefanya malipo...
  5. Hismastersvoice

    Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka. Baada ya...
  6. OLS

    Tulipanga kukusanya shilingi ngapi kwenye tozo za miamala

    Nimeangalia data kutoka TRA kujua tumekusanya shilingi ngapi tangu serikali iweke tozo kwenye miamala ya simu, hadi sasa tumeshakusanya Tsh Bilioni 362.1281, hii ni kuanzia zilipoanzisha hadi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24 Ukiangalia takwimu hizo kuanzia Juni 2022 makusanyo yalipungua...
  7. Pfizer

    TPA yatoa ufafanuzi kuhusu Tozo ya WHARFAGE

    UFAFANUZI KUHUSU TOZO YA WHARFAGE JUMAPILI MACHI 10, 2024 DAR ES SALAAM Mamlaka ya Usimamizi wa Bandnari Tanzania (TPA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tozo ya Wharfage kwa Wateja na Wadau wa huduma za Bandari na kuweka usahihi wa taarifa kwa Umma kwa ujumla kama ifuatavyo. Wharfage ni tozo ya...
  8. Miss Zomboko

    Nigeria yaanzisha tozo ya kila mwaka kwa wafanyakazi wa kigeni

    Nigeria imeanzisha ushuru wa lazima wa kila mwaka kwa mashirika yanayoajiri wafanyakazi kutoka nje, inayowahitaji kulipa $15,000 (£12,000) kwa watu wenye cheo cha mkurugenzi na $10,000 kwa vitengo vingine.. Hatua hiyo inakusudiwa kuhimiza makampuni ya kigeni kuajiri wafanyakazi zaidi wa...
  9. Suley2019

    Tuliambiwa tozo ni kwaajili ya kujenga barabara za vijijini. Vipi barabara zinajengwa kweli?

    Salaam Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania. Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni tozo za kizalendo sababu zimelenga kutumiwa kujenga barabara za vijijini. Soma: Serikali yatangaza...
  10. M

    Tetesi: Je, hii ni tozo mpya kwenye akaunti za Benki?

    Habarini wana jamvi, natumaini mko poa sana. Leo katika mishe zangu ikaingia sms ya tozo, ikiwa na jina la PAYROLL LEDGER FEE na baadaye ikaja na ya VAT. Sasa nikapiga simu kwa bank husika kujua hii shughuli imeanza lini mbona sina experience ya hii shughuli na tulishaambiwa haya mambo hayapo...
  11. MamaSamia2025

    Zambia nao wafikiwa na tozo kwenye miamala ya simu

    Naona ishu ya tozo imeigwa na majirani zetu. Nao kuanzia 1/1/2024 wameanza kulipa tozo kwenye miamala ya mitandao ya simu. Tofauti yao na sisi ni kuwa wao wanalipa kiasi kidogo sana ambacho ni kama hakuna kitu. Kwa mfano ukifanya muamala wa kwacha 10000 (kama Tsh 1m) tozo ni K1.5 (kama Tsh...
  12. Sildenafil Citrate

    Mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania (TAWA) yasema taratibu zote za kisheria zilifuatwa kwa mamba aliyewindwa na kuuawa ziwa Rukwa

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa chini Tanzania na kuleta taharuki, ambapo uchunguzi...
  13. BARD AI

    Zimbabwe: Wananchi wapinga mabadiliko ya Gharama za Kodi na Tozo

    Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133. Mbali na Hati za...
  14. BARD AI

    Ripoti: Kodi na Tozo zimesababisha Wafanyakazi 70,000 kupoteza Ajira

    Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19. Pia, FKE imesema Sekta...
  15. D

    Gari kulipishwa tozo za maegesho wanasheria walipaswa kuishitaki serikali mahakaman ni utapeli

    Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni! Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera! Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license! Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile! Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki! Sasa...
  16. kavulata

    Bunge limepitisha tozo kwa wote badala ya bima kwa wote

    Bima kwa watu wote sio mchezo mchezo kama huu. Watu wetu wanaugua sana kutokana na mbu wengi, funza wengi, ajali nyingi, takataka nyingi mitaani na majumbani, ukosefu wa chakula, ukosefu wa maji safi, matuzi ya Kuni, nyumba duni na bidhaa zisizo na ubora. Huwezi kuwekea mtu bima ambae unajua...
  17. Z

    Hivi tozo kwenye miamala ya simu ziliondolewa au zilipunguzwa?

    Leo nimetoa hela kwa waakala wa M-Pesa kiasi cha 30,000, meseji inasoma hivi; "...... imethibitshwa tarehe 20/10/23 saa 9:52 AM Pokea kiasi cha Tsh 30,000.00 kutoka ....., jumla ya ada Tsh 2,201.00 (M pesa ada 1,850.00+tozo ya serikali Tsh 351.00).
  18. Mhaya

    Je, button ya Uhuru wa kujieleza imezimwa?

    Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza. Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
  19. Boss la DP World

    Kuna aliyeona faida ya tozo?

    Kipindi Samia anaweka tozo alikuja na ahadi lukuki ya kuendeleza miundombinu ya elimu na maji kupitia makusanyo ya tozo. Nilikwenda mikoa ya kusini kuzungukia shule za msingi za vijijini, kisha nikaenda Morogoro DC kuzungukia shule za msingi na sasa niko Tabora. Nilichokiona ni vitukuto. Hizo...
  20. Suip

    Halotel bado mnatoza tozo za serikali?

    Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
Back
Top Bottom