tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwigulu Nchemba usiwaadhibu wananchi wa kawaida kwa tozo lukuki, tueleze hali ya uchumi wa nchi ikoje?

    Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii. Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi sasa ni kwamba; 1. Wafanyabiashara wote wakubwa na walipa kodi wakubwa wote wamesamehewa kulipa...
  2. Ushauri, Serikali itumie Tozo ya Mitandao ya Kijamii kwa ajili ya kupanga miji na kupima Ardhi

    Habari zenu. Nimesikia Waziri wa fedha anapanga kutafuta namna ya kupata tozo kwenye mitandao ya kijamii. Kama hili likiwezekana natoa ushauri kwa serikali kutumia fedha hizo kuunda wakala wa Ardhi na mipango miji. Kazi hii imekuwa inafanywa na Halmashauri lakini zimeshindwa kupima viwanja...
  3. Tozo ya uzalendo inatakiwa isizidi gharama za muamala, iwe 'fixed', iwe na muda maalum na iwe hiari

    Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?): Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka benchmark/fixed rate ambayo kila mzalendo atakatwa kiwango sawa bila kujali kiwango cha muamala anaofanya...
  4. Waziri Mwigulu: Watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha

    Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
  5. T

    Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

    Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
  6. Waziri Mwigulu Nchemba jiuzulu; ulilazimisha wananchi wanyonywe kupitia tozo kubwa

    Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya. Watanzania wakakuona hufai maana ulibuni chanzo cha mapato kisichofaa na kinachowanyonya watanzania wanyonge. Maana...
  7. Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  8. Mpaka muda huu, kuna yeyote aliyepata mrejesho wa ya tamko la tozo?

    WanaJF, Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala. Je, mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko tajwa atujuze?
  9. New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

    Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao. Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.
  10. Kama tunapokea msaada wa kuondoa umasikini ina maana tunakiri kuwa Nchini tuna Watu Masikini? Je Masikini hao nao wanatozwa tozo au wanapewa unafuu?

    Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100... Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini Nchini. Hii inamaanisha ya kuwa kama Serikali tunakiri ya kuwa Sehemu ya Wananchi wetu ni Masikini na...
  11. K

    Tetesi: Tozo zilimpeleka Hamza Salenda

    Kuna hizi tetesi nimezikuta mahali kuwa huenda tozo za maiamala zilikuwa sababu ya yule dogo kuwaua hawa jamaa zetu kwa kuwatwanga risasi
  12. M

    TOZO|CORONA: Idadi ya watali nchini imepungua kwa 77%, Mapato yatokanayo na utali yameshuka kwa 87%, Je mnaopinga tozo hadi leo mnalijua hili?

    HII NCHI NGUMU SANA|WATU WANAPINGA TOZO ZA HIARI WANATAMANI ENZI ZA TRA NA MITUTU YA BUNDUKI, _________________________________ Kazi iendelee|Tozo ziendelee Sikilizeni, Mfano, kutoka Wizara ya Maliasili & Utalii FY2021/22 tulitegemea kukusanya jumla ya Tshs 2.7trl kama mapato...
  13. N

    Watanzania wana hela lakini hawataki kulipa kodi, Serikali msipunguze tozo

    Watanzania kazi yao huwa ni kulalamika hata kwa vitu vidogo. Nimeshangaa nyumba ina wapangaji sita lakini wote wanalalamikia kulipa buku kwa mwezi. Kodi hawataki kulipa ila kadi za chama zinalipiwa, Mwigulu shikilia hapo hapo asietaka ahame
  14. C

    SoC01 Njia zinazoweza kutumiwa na Serikali kupata mapato badala ya kuwakamua Watanzania kwenye tozo

    Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na kulipa mishahara na posho watumishi wa umma na wanasisa.Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu...
  15. Tozo za miamala inaathiri sera ya fedha kwa kuathiri 'financial inclusion'

  16. Ucheleweshaji wa miamala ulioletwa na tozo ni kero

    Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao. Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu katika muda na usalama. Juzi nimepata dharura ilibidi nirushe pesa iwafikie walengwa. Mpaka leo...
  17. Askofu Bagonza aandika kuhusu tozo za miamala na kodi ya majengo

    TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO. Mwigulu Ayaone haya: 1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake! 2. Wawili wamependana...
  18. J

    Naibu Spika: Bunge litapitia Kanuni za Tozo za Miamala zilizoandaliwa na Waziri wa Fedha kuona kama hazikiuki Sheria!

    Naibu Spika Dr Tulia Ackson amesema bunge litazipitia kanuni za sheria ya tozo za miamala ya simu zilizoandaliwa na waziri wa fedha ili kujiridhisha kama hazikinzani kazi itakayofanywa na kamati ya sheria ndogo ya bunge. Endapo itaonekana kanuni ziko sawa basi sheria itapelekwa kwenye bunge...
  19. Mchawi wetu wa kwanza ni Mwigulu Nchemba wa pili ni Wabunge na watatu ni...

    Kipindi hiki kimekuwa kigumu kuliko cha Marehemu Magufuli. Tozo na Kodi zimekuwa za kikatili na kinyonyaji sana.hawa watu hawajali kabisa maisha ya maskini. Mwigulu, Wabunge hawa tunawalipia hizi kodi kwa kodi zetu. Mishahara wanayoipata na vipaumbele vyote ni kutokana na kodi zetu. Huyu...
  20. Serikali ya Rwanda yaondoa Tozo kwenye miamala ya benki kwenda mitandao ya simu kuwalinda watumiaji

    Hii hapa taarifa kamili. Mungu ibariki Rwanda. ================ No charges and fees will henceforth be incurred when transferring funds from one’s bank account to their mobile money wallet and vice versa (push and pull charges). The Central Bank has scrapped costs in their latest directive...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…