Siku chache baada ya Serikali kutetea tozo zinazotozwa kwenye miamala ya kielektroniki, Chama cha NCCR-Mageuzi kimeitaka wizara ya fedha na mipango pamoja na kamati ya bajeti kupeleka mswada wa dharura bungeni ili jambo hilo liangaliwe upya.
Septemba 1, 2022, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk...