Kikosi cha FAST Bukoba kimefanikiwa kukamata madumu 62 ya Ethanol, yenye ujazo wa lita 20 kila moja, sawa na jumla ya lita 1,240 za Ethanol, pamoja na mifuko miwili ya sukari. Mizigo hiyo imekamatwa katika eneo la Bunazi, Wilaya ya Missenyi, Mkoani Kagera, ikiwa imeingizwa nchini kinyume na...