tra

  1. TRA wamemtambua mwenye biashara ya saluni kama mlipa kodi!

    Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.
  2. G

    Naombeni msaada wenu, Kila mwaka inabidi niende TRA kufanyiwa makadirio ya duka?

    Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo. Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada ya miezi mitatu. Sasa kwa mwaka huu nimejuzwa kwamba inabidi niende kufanyiwa makadirio upya. Je...
  3. Waziri Masauni anapwaya! Trafiki wanajiamulia cha kufanya, magari yanajiendesha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye jeshi la Polisi limo ndani yake anaonekana kufeli pakubwa na so far Mama Samia anamvutia pumzi. Waziri Masauni, ama kwa kujua ama kutokujua kuna makosa makubwa sana anayofanya. Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya ajali iliyohusisha gari aina ya Fuso (T 861...
  4. N

    Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

    Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe. Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina. Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
  5. TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

    Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA". Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama...
  6. Kwasasa UTRAFIKI uko juu halafu TRA na Bandari zinafuata.

    Hii ya mwisho. Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu. TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu. Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia...
  7. S

    TRA

    Wadau Kuna issue ya kazi naifukuzia mwisho kesho Mtandao wa TRA mbona unazingua? Natakiwa nipate TIN namba daaaa!!!
  8. Salamu za mwaka mpya toka TRA

  9. A

    Kuna mfanyakazi 'immigration', TANESCO au TRA Maskini?

    Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
  10. Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  11. Watatu wafikishwa Mahakamani kwa kuisababishia TRA Hasara ya Tsh. Bilioni 1

    Watu 3 akiwemo Emmanuel Nkalangโ€™ano ambaye ni Mkurungenzi wa Wintech (T) Ltd, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashtaka 4 ikiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya Tsh. Bil. 1. Wengine ni Rugainunula Lwekamwa na Mwita Nyakiha ambao...
  12. Nalipa kodi TRA zaidi ya milioni tatu kwa mwezi, ni hasira sana ninapokuta umeme umekatika nyumbani

    Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana? Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
  13. TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

    Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend...
  14. B

    TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  15. G

    TRA hawatoi majina ya walioajiriwa badala yake wanapigiwa simu, hii inaonesha wazi kuna kuajiriwa kwa kujuana

    Habari, Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze? Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo. Suala la mtoto wa...
  16. TANESCO mnanigombanisha na TRA. Siwezi kulipa kodi kabisa wakati kutwa nzima umeme hakuna

    Naona kama mama nae anaenjoy tuu wala haoni kama hili ni tatizo kwake anakula tu good time na machawa wake huko DUBAI. Yani tunashinda mchana bila umeme, usiku ndio umeme unarudi hakafu asubuhi unakatika tena, mambo gani haya! nani unamuhudumia huo usiku huo. ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œIla hata UNIT za LUKU...
  17. A

    DOKEZO Maafisa wa TRA (TMU) wakishirikiana na Wakala wa bandarini kuwadhulumu wasafirishaji

    Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa. Ukifika wakati wa magari kufikisha mzigo unakataliwa kulipwa pesa yako, kisha unapigiwa simu na afisa wa TMU...
  18. B

    Ghorofa refu Tanzania litakuwa hili la TRA DSM, nembo ya jiji

    Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa. https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania. Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
  19. Jeshi la Polisi Arusha lawakamata Maafisa Feki wa TRA

    Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli wananchi katika maeneo tofauti tofauti Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoani...
  20. Kwanini Baadhi ya Office za TRA zipo Johari Rotana?

    Wakuu Habari za weekend Nimeshangaa na kushangaa tena, nilipoambiwa kuwa kuna office za tra pale hotel ya Johari Rotana tena wamechukua flow mbili Swali langu ni kwanini wakapange kwenye jengo la hotel ya mtu binafsi na wasipange kwenye majengo ya taasisi zingine za serikali kama TPA? Pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ