Dar es Salaam, 07 Juni, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 08 Juni, 2024 na Jumapili tarehe 09 Juni, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa...
TRA sijui niseme wamekosa ubunifu ktk kutoa huduma zao au wapowapo tu kutumia nguvu ktk kutimiza majukumu yao?
Ili uweze kupata nambari ya mlipa kodi TIN nilazima uwe na na kitambulisho cha NIDA,ambao nao wapowapo tu kama msumari nilazima wagongwe ndio waendee,mtu akienda kuomba TIN na hana...
Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.
Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa...
Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD.
Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
Nimesikiliza clip mbili za Waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba akizungumzia kuhusu ukusanyaji wa kodi na ingine akiongelea madeni ya kodi bungeni leo. Kuna ujumbe naona kama waziri alikuwa anamjulisha mtu bungeni leo sijajua ni nani hasa.
PIA SOMA
- Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za...
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward.
Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua.
Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+
Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka mpaka wakuingia nchi nyingine.
Mwisho wanataka pesa ambayo hata ukifikisha mzigo hauendi kupata faida...
Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila walisapoti wakawa wanasimamia show zangu.
Wanasema cha mtu mavi, ukitaka ubaya kabidhi ndugu mali...
Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe.
Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena
Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA.
Serikali yetu ifanye yafuatayo:
Mkurugenzi abadilishwe.
Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchii.
Akiongea Mkoani Morogoro, leo Tarehe...
Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wafanyabiashara kufunga maduka, ni mpango ulioratibiwa na baadhi ya...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya Muheza Mh. Zainab Abdallah wameendesha kliniki ya kodi katika viwanja vya Bombani Muheza mkoani Tanga. Kliniki hiyo imefanyika kwa kusikiliza na kutatua chamgamoto za kikodi kwa wafanyabiashara wa Muheza.
Aidha wafanyabiashara...
Kwa siku tatu sasa ukitaka kuhakiki ubora
Pombe kali konyagi.k vant nk mfumo unatoa mesage.MANTANANCE MODE AU SERVER UNAVAILABILITY TRY AGAON LATER .
Vile vili kuna hisia watu kuanza kupata shida kunywa vinywaji vikali.
Je kuna shida gani? Wahusika tunaomba mrejesho haraka.
Utangulizi
Takwimu za mapato yakuswanyayo na shirika husika (TRA) katika maeneo/shughuli mbalimbali, zimeonekana kupaa juu siku hadi siku na hii imechochewa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika kutoa elimu kwa wauzaji na wanunuzi wa bidhaa/huduma mbalimbali,,,,
Sambamba na...
Naomba kufahamishwa kodi ya basi jipya la umeme toka China la thamani ya dola za kimarekani 6000 nitalipa sh ngapi..
Na ninyi watu wa mazingira je?mwaweza kunipa kibali cha unafuu niletapo basi hili?...nikiwa na maana kwamba halichafui mazingira....
Nimesiiliza sana clip ya DC wa Muheza na mpaka sasa nimeshindwa elewa kuna nini. Kwanza nikiri mimi nafanya biashara japo siyo kubwa ila nakumbuka kama sikosei ilikuwa sikukuu ya Iddi Mh Rais alisema baadhi yetu wafanyabiashara tumeanza kuiibia Serikali kwa kudanganya na kukwepa kodi.
Kila...
Leo tarehe 02.05.2024, TRA imetoa elimu juu ya athari za magendo kama vile kuhatarisha afya kwa kuingiza bidhaa zisizo na ubora kwa wakazi wa soko la Gwanumpu lililopo Ujirani Mwema mpakani mwa Tanzania na Burundi.
Hawa watu wanaofanya kazi katika hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao.
Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana.
Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.