Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
478
Reaction score
1,025
Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
 

Attachments

  • VID-20250328-WA0028.mp4
    3.8 MB
Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
Kusomana inaweza, ila wapigaji wakale wapi?
 
utaambiwa file limepotea.miminawasunbiri kwa hamu siku nikienda wakaniambia eti file limepotea.nitahakikisha meneja wa tawi anatoka kwenye kiti alichokalia.yani simple faili linapoteaje? kwamba ofisi imeungua? au imevamiwa na majizi? ningekuwa mimi ndiyo meneja mfanyakazi anayetoa majibu kwa mteja kwamba faili limepotea namfukuza in 24 hours
 
Tutafika tu, si mmeambiwa na CAG kwamba eti kiwango cha rushwa kimepungua
 
Back
Top Bottom