tra

  1. Tabutupu

    TRA kudhamini Ndondo CUP, Pesa hizi wanatoa wapi?

    Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza? TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu? Sijasema ndondo cup ki upuuzi lakini Mil 40 zinajenga zahanati 1 kijijini? Kazi ya TRA ni moja tuu, kukusanya mapato na...
  2. FaizaFoxy

    Wanunuzi waitaja TRA chanzo cha utoroshaji wa dhahabu

    Wanunuzi waitaja TRA chanzo cha utoroshaji wa dhahabu Ijumaa, Agosti 16, 2024 Kamishna wa Mamlaka ya mapato nchini (TRA) akizungumza na wafanyabiashara mjini Geita katika kikao kilicholenga kusikiliza kero zinazowakabili wafanyabishara wa mkoa huo. By Waandishi Wetu & Rehema Matowo Muktasari...
  3. A

    DOKEZO Inachofanya TRA ni kuifilisi au kuiua Hospitali ya Massana, Watumishi wa Hospitali tunahisi kupoteza matumaini

    Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti za Benki za Hospitali hiyo kwakile wanachodaiwa kuwa ni madeni wanayoidai Hospitali. Kwasasa sisi...
  4. Aramun

    Tetesi: NMB, CRDB, TRA, TANESCO, TPA na wadau wengine wa "Executive Category" kujitoa NHIF.

    Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
  5. BARD AI

    Makusanyo yaliyokusanywa na Mamlaka ya Mapato TRA kwa mwezi Julai katika kipindi cha miaka 6(2018/19 - 2024/25)

    Mwenendo wa Ukusanyaji Kodi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kipindi cha miaka 7 2018/19: Tsh. Trilioni 1.20 2019/20: Tsh. Trilioni 1.26 2020/21: Tsh. Trilioni 1.29 2021/22: Tsh. Trilioni 1.54 2022/23: Tsh. Trilioni 1.76 2023/24: Tsh. Trilioni 1.94 2024/25: Tsh. Trilioni 2.34
  6. R

    Independence of the tax ombudsman service, trab, and trat from the tra

    “A Pillar of Fairness and Trust” Introduction During the swearing-in ceremony for newly appointed government officials, President Hon. Samia Suluhu Hassan emphasized the significant responsibilities of the newly appointed Commissioner General of the Tanzania Revenue Authority (TRA). In her...
  7. H

    Ofisi za TRA wanasumbua kusaini au kugonga mihuri kupokea barua

    Habarini, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya kumbukumbu zake kwa madai wamekatazwa kufanya hivyo hadi mteja aje na dispatch book. Hivi hii...
  8. KIDUDU

    Tra na uhamiaji mulikeni kampuni ya digital mobile africa tanzania

    Ndugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba yetu ilimalizika tangu mwezi wa tano. Tupo wat zaidi ya 300 kwenye mikoa ya Dodoma, Manyara na...
  9. Heart Wood.

    Njia za kudumu zinazoweza kutumiwa na TRA kuhakikisha watu wengi wanalipa kodi nchini

    Ukifuatilia Takwimu, utasikia TRA wanadai idadi ya walipa kodi nchi hii ni ndogo sana licha ya nguvu nyingi zinazotumika ikiwemo masuala ya TaskForce, kuhakikisha watu wanadai receipts na matumizi ya EFD machines. Kwa njia hizo, ni kweli kabisa idadi ya walipakodi itaendelea kuwa ndogo. Nini...
  10. The Lost Boy

    TRA Chanika mnakwama wapi?

    Lau nitataka kufungua biashara leo, nikienda TRA nitapata kila kitu kwa maana TIN na Tax Clearance pasipo tabu yoyote. Tena hatumwi hata afisa kuja kuona hiyo biashara. Kimbembe ni pale utapotaka kufunga hiyo biashara. Utaambiwa andika barua ya kufunga hiyo biashara, peleka kwa mjumbe...
  11. LA7

    Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  12. Roving Journalist

    Mwenda: Tupeni taarifa ya Maafisa wa TRA wasio waadilifu, tutachukua hatua

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua bila kumpendelea wala kumuonea yeyote atakayehusika kukwepa kodi au kwa Afisa atakayeonesha kukosa uadilifu kwenye majukumu yake, amesema hayo Julai 15, 2024 wakati akizungumza na...
  13. Roving Journalist

    Mwigulu: Watumishi wala rushwa TRA watimuliwe na wafikishwe Mahakamani

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo...
  14. James Hadley Chase

    Nyie TRA njooni kodi nyingine iko huku!

    WAKATI nakua na kupata fahamu za kujua kuwapo kwa Mungu, ipo siku wazazi wangu waliniamsha alfajiri na kunivisha nguo ambazo sikuwahi kuzivaa, zilikuwa mpya; shati na kaptura, tofauti na zamani nikivaa shati refu tu bila kingine chini. Baada ya kuvishwa nguo hizo nikiwa nimemaliza kuoga, tukala...
  15. Analogia Malenga

    Ameandika Jesse Kwayu: Kidata aligusa maslahi ya deep state?

    MEI mwaka jana wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo ambalo limepewa hadhi ya soko la Kimataifa waligoma. Mgomo wao ulitokana na kutokuridhishwa na mwenendo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) dhidi yao. Kwamba TRA walikuwa wakiwabambika kodi, kuwabugudhi na kimsingi walikuwa kero kwao kiasi...
  16. BLACK MOVEMENT

    Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano. Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula...
  17. and 300

    TRA ibadilishwe kuwa Jeshi Usu

    1. Hii Migomo inaonyesha wafanyabiashara Kariakoo na kwingineko wanaleta mchezo kwenye kulipa kodi. 2. Inafaa Sasa TRA libadilishwe kuwa Jeshi Usu kama taasisi za Maliasili, Misitu. 3. Wafanyakazi wote TRA waende kozi ya awali ya ukakamavu, ujasiri na Nidhamu. 4. Kamishna Mkuu TRA ateuliwe...
  18. Lord denning

    Tusipofanya haya kila siku tutabadili Kamishna wa TRA

    Mwaka 2022/23 niliandika mada nzito sana kuhusu mambo yanayopaswa kufanywa bandarini kufuatia suala la kubadilishwa kila mara wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari. Nashukuru pendekezo langu nililolitoa la kufanya bandari zetu kuendeshwa kwa sehemu kubwa kwa mfumo wa PPP (Serikali na sekta binafsi)...
  19. econonist

    Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

    Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha. 1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike Nimehuzunika Rais anapokiri ya kwamba mikopo tunayokopa inatufanya tunyanyasike. Huyu ni udhaifu mkubwa wa...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024 https://www.youtube.com/live/MSSEPF3ioMs?si=gBRTSs5sSflxcq9D Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama...
Back
Top Bottom