Kuna stori zipo kwamba baadhi ya watu wamejibiwa ila sijataka kuziamini. Tusubiri kuanzia kesho tutapata uthibitisho zaidi.Naskia bado hawajajibiwa, hivi hamna namba ya kuwapigia maana oral interview ni next week, siku zimeisha🤔
Ok je wamejibiwa kama walivyotarajia ama ni huzuni🥱Kuna stori zipo kwamba baadhi ya watu wamejibiwa ila sijataka kuziamini. Tusubiri kuanzia kesho tutapata uthibitisho zaidi.
Inasemekana wameitwa oral.Ok je wamejibiwa kama walivyotarajia ama ni huzuni🥱
Mimi wamenijibu muda huu.Naskia bado hawajajibiwa, hivi hamna namba ya kuwapigia maana oral interview ni next week, siku zimeisha🤔
Naona labda wanajibu kila mmoja kwa. Muda wake.Habari Wadau.
Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake??
Wanasema je?Mimi wamenijibu muda huu.
Great news, wamekuambiaje mkuu?Mimi wamenijibu muda huu.
Hongera sana mkuu, tukutane BunjuuWamejibu hivi
Wow hongera zake, kumbe rufaa zinafanyiwa kazi, safi kama angekata tamaa asiappeal ndiyo ingekua imeisha hiyoJana Rafiki yangu aliamka anakutana na email ya kuambiwa rufaa yake imetiki, kwamba kulikuwa na makosa wakati wa kukopi matokeo kutoka kwenye karatasi yake ya mtihani kuingiza kwenye mfumo, hivyo alipata 80 badala ya 74. Internal affairs officer
Nimekubaliwa mkuu.Great news, wamekuambiaje mkuu?
Habari Wadau.
Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake??
Hongera sana mkuuN
Nimekubaliwa mkuu.
Bunju ilikuaje jamani au ni mimi tu kimenilamba?Hongera sana mkuu, tukutane Bunjuu
Bunju ilikuaje jamani au ni mimi tu kimenilambaAPC
APC ni kunomaaaaBunju ilikuaje jamani au ni mimi tu kimenilamba?