Ndugu yangu mimi mpaka nlitamani kulia yani unatoka kwa panel dissapointed kabisa...yani dissapointment imenyookaDaah this thing was really tough, against expectations ya wengi, nimetoka kwa oral ya Customs officer aisee hawa watu wakijipanga kuchuja,.. Kiukweli nimetoka kwa chumba cha oral nikuwa hopeless