Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

Sijawahi ktoka interview with no hope kama ya jana atleast kwingine unaona kabisa 50/50 ila hapa
 
Mnataka umkale kodi ninazo lipa kwenye bznes zangu? Ok sw all the best.
KAZI ni kipimo cha utu
 
XStics of tax, methods of protectionism, advantages of double taxation, adjusted assessment mengine nmesahau
Kwa hiyo hakuna lile swali la introduce yourself basi kama ni hivyo hao jamaa ni balaa🤣🤣.
 
Daah this thing was really tough, against expectations ya wengi, nimetoka kwa oral ya Customs officer aisee hawa watu wakijipanga kuchuja,.. Kiukweli nimetoka kwa chumba cha oral nikuwa hopeless
 
Daah this thing was really tough, against expectations ya wengi, nimetoka kwa oral ya Customs officer aisee hawa watu wakijipanga kuchuja,.. Kiukweli nimetoka kwa chumba cha oral nikuwa hopeless
Halafu wala hawakuulizi kama umemaliza, ni mpaka wewe mwenyewe useme kwamba nimeshindwa au nimeshia hapa ndio wanaendelea na swali lingine, means ukiwa mmbishi unaweza ukakaa mpaka lisaa
 
Halafu wala hawakuulizi kama umemaliza, ni mpaka wewe mwenyewe useme kwamba nimeshindwa au nimeshia hapa ndio wanaendelea na swali lingine, means ukiwa mmbishi unaweza ukakaa mpaka lisaa
Pole mkuu, maswali gani waliuliza
 
Pole mkuu, maswali gani waliuliza
Benefits za regional integration, benefits za duty remission,what goods should enjoy duty remission, why tax evasion keeps persisting in developing countries? Na mengine nimeyasahau kwa nilivyokuwa nimevurugwa
 
Back
Top Bottom