tra

  1. TRA Tanzania

    TRA yawatoa hofu Wafanyabiashara kuhusu pesa zao Benki

    #Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda na Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba leo tarehe 17/10/2024 wamekutana na Watendaji Wakuu wa Mabenki na Taasisi za Fedha nchini kujadili suala la Hati ya Uwakala katika ulipaji kodi (Agency...
  2. H

    Kwanini mashine za EFD ziuzwe bei kubwa na kwanini wafanyabiashara wasikopeshwe na TRA kwa kulipa kidogokidogo?

    Habarini, Ni ngumu sana kwa waganyabiashara wadogo kununua EFD mashine kwa bei ya zaidi ya 500,000 ambapo ikiuzwa 100,000 ni wazi TRA watakusanya kodi nyingi kwani watumiaji wa mashine hizo wataongezeka zaidi. Pia bado TRA wanaweza kuwakopesha wafanyabiasha mashine hizo na kuwakata taratibu...
  3. Scaramanga

    TRA yazindua ofisi ya walipa kodi binafsi wenye hadhi ya juu

    ------------ MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imezindua ofisi ya walipa kodi binafsi na wenye hadhi ya juu 158 ilikuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato. Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amezindua ofisi hiyo dar es salaam Oktoba 15,2024 . “Muunganiko huu na...
  4. Mindyou

    Should we expect anything new from Leonard Mususa's addition to Samia's Tax Reform Commission?

    About 4 days ago, different diplomats and Tanzanian investors were laughing and smiling in their embassies corridors when President Samia Suluhu Hassan broke the news that she appointed Leonard Mususa in the Presidential Tax Reform Commision. For those familiar with Mususa, they will agree that...
  5. Hismastersvoice

    TRA kusanyeni kodi toka kwa wafanyabiashara wa ndani ya treni ya SGR

    Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo...
  6. TRA Tanzania

    TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

  7. Mad Max

    Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  8. TRA Tanzania

    Ofisi za TRA kuwa wazi Jumamosi, 28 mwezi wa Septemba, 2024

  9. Yesu Anakuja

    Wapi bora, chuo cha TRA au chuo cha BOT au CBE na TIA

    Kuna mtoto wangu anaomba akasome mambo ya banking au kodi. kati ya TRA academy na BOT academy, wapi bora unafikiri aende? which one is better than the other. asante.
  10. N

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  11. O

    Naomba makadirio ya kodi ya gari hili

    Jamani naomba elimu, ikiwa umelipia gari kwa dollar 4000 cc 1800 ya mwaka 2007 makadirio ya kodi ya Used Motor Vehicles Valuation System itakuwa inaanzia sh ngapi hadi ngapi?
  12. Pascal Mayalla

    Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  13. R

    An urgent call to the Commissioner General

    The Closure of EFD Machines and its Impact on Tanzanian Taxpayers The Tanzania Revenue Authority (TRA) holds a vital role in our nation's progress, tasked with the essential duty of collecting and accounting for government revenue through taxes. This responsibility, however, should be executed...
  14. Pascal Mayalla

    Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  15. BARD AI

    TRA: Vitu viwili duniani haviepukiki ni Kifo na kulipa Kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema moja ya Wajibu wake ni kuendelea kuhamasisha ikiwemo kutoa Elimu ya Mlipakodi kwa Watanzania ili watambue thamani na Umuhimu wa Kufanya hivyo ikiwa ni kwa Maendeleo yao na Maslahi mapana kwa Taifa. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam leo Agosti...
  16. B

    Ofisi za TRA kuwa wazi jumamosi Agosti 31, 2024

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni. Hatua hii inatokana na ushauri na maoni ya wadau...
  17. JanguKamaJangu

    Mpina afungua kesi dhidi ya Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni ya kuagiza Sukari

    Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi mbili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya kwanza ni dhidi ya Spika ambapo anahoji juu...
  18. mirindimo

    SHANGINGI LA HUMAN TRAFFIC LA MBUNGE LABADILISHWA JINA LIKIWA NA POLISI KUSHIRIKIANA NA TRA

    It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala. Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa...
  19. Stephano Mgendanyi

    TRA Kukutana na Wadau wa Sekta ya Madini Kujadiliana Maboresho Sekta ya Madini

    TRA KUKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI KUJADILIANA MABORESHO YA SEKTA YA MADINI -Kuhusisha Watoa huduma,Wachimbaji wakubwa na wadogo -Waziri Mavunde aipongeza Wizara ya Fedha kwa ushirikiano -Wizara ya Madini yajipanga kukusanya Trilioni 1 mwaka 2024/25 Dar es salaam Mamlaka ya Mapato...
  20. Azniv Protingas

    Madalali TRA ni wafanyakazi wa TRA au vipi?

    Nimeenda ofisi za TRA kufuatilia leseni ya udereva lakini nilivyofika nimeshtuka kupokelewa na mtu kwenye korido ya ofisi ananiuliza unahitaji nini? Kwa upole nikamjibu nimekuja kukata leseni ya udereva, akaniambia njoo nikusaidie. Tukaingia ndani akaniambia una tin number nikamjibu ninayo...
Back
Top Bottom