TRA shughulikieni suala la mtandao mnachofanya ni upumbavu wa hali ya juu, ofisi zenu zote muda wa kazi hakuna mtandao hasa siku za malipo ila kuanzia saa 11 jioni mnarudisha mtandao.
Basi fanyeni kazi 24hrs hapo hapo huyu mliyemzimia mtandao akija alipe mnampiga penati za kufa mtu mnafikiri...
Habari waheshimiwa, nimeona kwenye gazeti la jana la mwananchi kuwa Rais ametoa ajira nyingine 2100 zaTRA. Nimeambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na screenshot kutoka kwenye page ya millardayo post za jana gazeti la tarehe 12/02/2022.
Baadaya ya manyunyu kutamaradi, sasa mvua inaweza kunya wakati wowote.
"Watu wote wanaofanya biashara kidigitali tunawaomba mfike katika ofisi zetu kwa ajili ya usajili wa biashara hizo"
"Sambamba na hilo tunaendelea kufatilia wateja wenu mnaowahudumia ili tupate taarifa sahihi za biashara...
Vipi jamani, mambo yameendaje huko?
Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa...
Kwa wanaohitaji usafiri wa kwenda kwenye usahili wa UTUMISHI (TRA) DODOMA nakurudi DAR tafadhali wasiliana nasi mapema 0719250926 fanya BOOKING mapema nafasi zimebaki chache
Hebu leo tuwaangalie hawa jamaa,
Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe Japan, Dubai, Thailand au Afrika Kusini yaani kodi unayolipa tena isiyo na mantiki tena kodi ya kuudhi...
Nimejaribu kuhakiki bidhaa kwa kutumia ap ya Hakiki Stamp ya TRA nimekuta kila bidhaa feki.
Unachotakiwa kufanya scan bar code au QR code iliyopo kwenye bidhaa.Ap inawasha camera ya simu, hakikisha QR code au bar code inakuwa kwenye target ya camera, bila
ya kutingishika, kama huwezi
ingiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.