Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

Chongeni

Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
27
Reaction score
78
Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.

MASWALI YAO HAYA👇

1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment

EXTRA👇
What is your salary expectation

ZINGATIA👇
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.

UPDATE 28/05/2025:
Nimefanikiwa kuwa TMO as per TRA Email I have received now. Much thanks to God for this Blessing…
 
Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.

MASWALI YAO HAYA👇

1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment

EXTRA👇
What is your salary expectation

ZINGATIA👇
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.
Nakuelewa heri yako hata maswali umeyakumbuka vyema. Hata mimi nmepigwa na kitu kizito
 
Kama Kuna sehem nyingine yakupeleka haya maneno yako yapeleke lakin sio mzaha huu kwenye panel.

Ogopa saana kama umeshawahi unajua nn anazungumzia
Seriously, Elimu ikupe skills na ikujengee uwezo wa kujieleza. Kama hayo maswali yamempa taabu basi elimu haijamsaidia. Yaani akifunga vitabu anabaki mtupu kichwani
 
Mpaka nimekumbuka hayo maswali mkuu bado Una-judge uwezo wangu? Mpaka nimepita kutoka Written interview kwa 65 bado unani-judge mkuu?
Elewa situation yangu hasa Fresh degree graduate (2024) kama mimi. Huwezi kuamini, mpaka nimeyakumbuka maana yake niliweza kuyajibu yote lakini sio kwa kiasi nilichotaka.
 
Naom
Jiandae kwenda kuanza kazi
Naomba kukuuliza kiongozi kwenye usaili WA oral maswali uwaga mafupi mafupi kama hvo au kunakuaga na swali refu mzigo au inategemea na sehemu au kada? Kama maswali yanakua mafupi hvo maana yake Hauna haja ya kuchimbua vitu ndani sana just simple explanation na wakat mwingine ni kumeshen TU. Naomba ufafanuz m ni MPYA ndo nategemea kufanya interview yang ya kwanza Tena ni oral Moja Kwa moja
 
Usiweza muda mwingine inategemea na washindani wamejibu vip ..Mimi interview yangu hakuna swali niliwahi kuliona tangu nisome chuo ila nimepita , mengi yalikuwa ya field kabisa watu waliokuwa wanafanya kazi.
 
Seriously, Elimu ikupe skills na ikujengee uwezo wa kujieleza. Kama hayo maswali yamempa taabu basi elimu haijamsaidia. Yaani akifunga vitabu anabaki mtupu kichwani
Kiongozi muelewe, hajasema kuwa akifunga kitabu au daftari anabaki mtupu

Alichosema ni kuwa ile Hali ambayo yy alikutana nayo baada ya kufika kwenye panel, ilimfanya Kam vile asahau Kila kitu.

Kiongozi huu ni uoga au wasiwasi.. kuwa wasiwasi au uoga haimaaniishi kuwa kichwani huna kitu.

Hizi ni emotions tu ambazo mtu hutarajii na mara nyingi zikitokea zonapunguza ufanisi wako katika jambo flani kama hili lakujielezea.

Ni Hali ambayo watu wengi wanayo na wachache Huwa wanajifunza namna yakuitumia kupata matokeo chanya pale inapowatokea.

Kila Mmoja anayo hii tunatofautiana tu namna ya kuikabili, kuificha na kuitumia.

Kwahiyo kama ww unauwezo wakufanya jambo lako Kwa ufanisi ukiwa na huu uoga au wasiwasi shukuru mungu.
 
Watu wanafikiri hii interview ni kama za kuomba kazi huko sekta binafsi.Hii maswali yanachaguliwa kwenye vitabu popote na hapo popote hupajui na points na maelezo yawe kichwani no time to think!Sababu muda unafikiri wenzio wanakukodolea macho.Pepa la kuandika poa mbn utakaa utafikiria mwenyew utaandaka hili unaulizwa mtu anakukodolea macho jibu lipo expected the moment akimaliza kuuliza hii ndio tofauti.
 
Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.

MASWALI YAO HAYA👇

1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment

EXTRA👇
What is your salary expectation

ZINGATIA👇
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.
Maajabu ni kwamba wenye uwezo wa kujieleza na wenye experience wametemwa kuingia oral kwa marks chache sana.
 
Back
Top Bottom