snchimbi
Member
- Dec 19, 2020
- 47
- 55
Sasa huwa linaulizwa kwa mantiki gani?,Toka lini swali la mshahara likawa na marks?
Sasa huwa linaulizwa kwa mantiki gani?,Toka lini swali la mshahara likawa na marks?
Nahisi hili swali liliulizwa kwa wale waliokuwa interested nao au walio kwa marks walizokuwa wamepata basi wamefanya vyena ama huenda alijibu maswali vyema wakaona wamuongezee swali la nyongeza ili asijetoka humo ndani anasema mimi lazima nitapata hii kazi. All in all serikali salary rate ni ile ile naona kama vile ukiniuliza hilo swali kama ningekuwa mimi ningetafsiri kma unanikejeli kwasababu hamna salary range serikalini kuna fixed starting salaryHili swali la mshahara sijajua kwa nini wengine waliulizwa na wengine hawakuulizwa?, maana kuna jamaa yangu pia anasema yeye hakuulizwa? , sasa najiuliza kama maswali yalikuwa 6 na la mshahara likawa la 7 , haiwezi muongezea marks aliyeulizwa maswali 7( likiwemo la mshahara) dhidi ya yule aliyeulizwa maswali 6 tu.
Kupata tu mtazamo wakoSasa huwa linaulizwa kwa mantiki gani?,
Sasa kama ni mtazamo tu, kwa nini waliulize in discriminatory basis, kwa nini wasiulize kwa wasailiwa wote kuweza kupata mtazamo wa kila msailiwa?Kupata tu mtazamo wako
Na kama wengine hawakuulizwa jua halina marksHili swali la mshahara sijajua kwa nini wengine waliulizwa na wengine hawakuulizwa?, maana kuna jamaa yangu pia anasema yeye hakuulizwa? , sasa najiuliza kama maswali yalikuwa 6 na la mshahara likawa la 7 , haiwezi muongezea marks aliyeulizwa maswali 7( likiwemo la mshahara) dhidi ya yule aliyeulizwa maswali 6 tu.
Si ajabu wewe uliulizwa kwasababu muda ulikua unaruhusu na wengine muda haukuruhusu...ila halinaga marks bossSasa kama ni mtazamo tu, kwa nini waliulize in discriminatory basis, kwa nini wasiulize kwa wasailiwa wote kuweza kupata mtazamo wa kila msailiwa?
Si kweliNahisi hili swali liliulizwa kwa wale waliokuwa interested nao au walio kwa marks walizokuwa wamepata basi wamefanya vyena ama huenda alijibu maswali vyema wakaona wamuongezee swali la nyongeza ili asijetoka humo ndani anasema mimi lazima nitapata hii kazi. All in all serikali salary rate ni ile ile naona kama vile ukiniuliza hilo swali kama ningekuwa mimi ningetafsiri kma unanikejeli kwasababu hamna salary range serikalini kuna fixed starting salary
Ok, ingawa inafikirisha sana kwa nini walifanya hivyoNa kama wengine hawakuulizwa jua halina marks
Poa boss kwa ufafanuzi ingawa sie mimi niliyeulizwa ni jamaa yangu,Si ajabu wewe uliulizwa kwasababu muda ulikua unaruhusu na wengine muda haukuruhusu...ila halinaga marks boss
Sasa ulitaka usahau hadi maswali ulioulizwa?Mpaka nimekumbuka hayo maswali mkuu bado Una-judge uwezo wangu? Mpaka nimepita kutoka Written interview kwa 65 bado unani-judge mkuu?
Elewa situation yangu hasa Fresh degree graduate (2024) kama mimi. Huwezi kuamini, mpaka nimeyakumbuka maana yake niliweza kuyajibu yote lakini sio kwa kiasi nilichotaka.
Hilo watakujibu wahusika kama wako humuSasa kama ni mtazamo tu, kwa nini waliulize in discriminatory basis, kwa nini wasiulize kwa wasailiwa wote kuweza kupata mtazamo wa kila msailiwa?
Naona kama kuna ukweli juu ya haya maelezo, sababu sidhani kama kuna kitu kinaweza kuulizwa kisiwe na sababu ya kuulizwa kwake?Si kweli
kazi umepataKwamba hilo swali.la salary kuna wengine hawakuulizwa...? Hii ina maana gani kama wote tumeulizwa maswali yale yale then wengine waongezewe swali la Ziada? Mim niliulizwa
Labda ndo wamepataNaona kama kuna ukweli juu ya haya maelezo, sababu sidhani kama kuna kitu kinaweza kuulizwa kisiwe na sababu ya kuulizwa kwake?
Haina uhakika, yote kwa yote Mungu ndiye mwamuzi na ndio wa kumtegemea akisema ndio hakuna wa kupinga, kwa wote tulioingia oral, ni kuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu aliye mwema atujalie kupata nafasi, na hata kama mtu hatapata, amshukuru Mungu, kwa maana amesema , tumshukuru yeye kwa kila jambo.Labda ndo wamepata
Mimi sikuulizwa abt salary. Kwa vile i know how I performed, I assume walioulizwa labda ni waliopata. Sasa uulizwe unataka kulipwa sh ngapi wakati hawakuchukui? Jibu lako halitawasaidia kitu. Ila let’s wait and seeHili swali la mshahara sijajua kwa nini wengine waliulizwa na wengine hawakuulizwa?, maana kuna jamaa yangu pia anasema yeye hakuulizwa? , sasa najiuliza kama maswali yalikuwa 6 na la mshahara likawa la 7 , haiwezi muongezea marks aliyeulizwa maswali 7( likiwemo la mshahara) dhidi ya yule aliyeulizwa maswali 6 tu.
I agree with you. Waliwauliza walio appear interesting maybe. I also agree kwamba serikali ina scale zake so hilo swali ni kama halima umuhimu. Ila Sa nyingine naskia wanaulizaga tu ili waone candidate anatazamia kupokea kiasi cha juu/chini sana compared na scale iliyopo.Nahisi hili swali liliulizwa kwa wale waliokuwa interested nao au walio kwa marks walizokuwa wamepata basi wamefanya vyena ama huenda alijibu maswali vyema wakaona wamuongezee swali la nyongeza ili asijetoka humo ndani anasema mimi lazima nitapata hii kazi. All in all serikali salary rate ni ile ile naona kama vile ukiniuliza hilo swali kama ningekuwa mimi ningetafsiri kma unanikejeli kwasababu hamna salary range serikalini kuna fixed starting salary
Mi mwenyewe Kila saa naingia website yao. Nakuta tu list of overstayed goods😅. Watupe tu closure hata kama hatujapata tutashukuru kwa Kila jambo. Ila Hii kukaa gizani sio kbsWatoe majibu tuendelee na maisha mengine maana kila siku nawaza TRA tuu