walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,855
- 5,699
Hawa jamaa wa tra sio powa nakumbuka nilifanya oral kipindi hicho wanasimamia Utumishi wenyewe magogoni posta kivukoni pale ilikuwa kama 2019 au 2020, naingia ndani panel ilikuwa na watu wa kutosha niliatendi maswali vizuri sana lakini dah acheni tu matokeo yanatoka olaaa hakuna kitu nikawekwa kwenye kanzi data basi nikapangiwa kazi sehemu nyingine ila wanajeshi wapambanaji msikate tamaa mungu yupo tuzidi kumwomba kama ipo ipo tu kila la kheri ngoja tusubili majibu nadhani mwezi may huu lazma kieleweke wakuu