Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

Kwa nini kwa TRA pekee yake? Au ni kutokana na neema iliyopo huko kwamba akiajiriwa huyu leo kwa miaka kumi ajichumie chake ndani ya muda huo kisha ampishe mwingine nae ale neema kwa miaka kumi? Je, huko TRA kila mtumishi kwenye kila kitengo ana neema?
 
Ili kuondoa tatizo la ajira
Serikali istaafishe wote ambao wako over 55

Kisha baada ya hapo ishushe umri wa kustaafu kwa lazima uwe 55 kwa wanaume
50 kwa wanawake
Kisha kazi ziwe za mikataba
 
Ili kuondoa tatizo la ajira
Serikali istaafishe wote ambao wako over 55

Kisha baada ya hapo ishushe umri wa kustaafu kwa lazima uwe 55 kwa wanaume
50 kwa wanawake
Kisha kazi ziwe za mikataba
Dunia inabadilika mfano watu ambao wanamiaka 48 na kuendelea ndo mabingwa wa kupinga hata mabadiliko ya technologia wanaishi dunia nyingine bado wanafikra za kizamani huo ndo ukweli ambao watu wengi hawataki kusikia

Wafanyakazi wengi wa serikali wapo kwenye comfort zone ndo maana ukisema mikataba wanakua mbogo
 
Back
Top Bottom