Hiyo ni keki ya taifa kila mtu apate mimi napigania watuPambana upate kazi acha kutuonea wivu ambao tumepambana na kupata kazi za serikali.
Kila mtu apambane na hali yake.Hiyo ni keki ya taifa kila mtu apate mimi napigania watu
Keki ya taifa wapate woteKila mtu apambane na hali yake.
Huwezi kufanikiwa kupigania watu, jipambanie wewe kwanza.Hiyo ni keki ya taifa kila mtu apate mimi napigania watu
Hiyo umesema wewe ila kazi za serikali zinatakiwa ziwe za mikatabaHuwezi kufanikiwa kupigania watu, jipambanie wewe kwanza.
Learned person anasema waangalie ustaarabu mwingine. Acha mawazo mgando toa context , whatsup there after.Onyesha sehemu ambayo nilipochukulia hii content kutoka x niko pale nasbiria
Waende wapi waangalie ustaarabu mwingine
Mbona kuna watu hawajaajiriwa serikalini na wanaishi kuna maisha nje ya kuwa mfanyakazi wa serikali kama hao wengine wanaishi hata wewe unawezaLearned person anasema waangalie ustaarabu mwingine. Acha mawazo mgando toa context , whatsup there after.
Dunia inabadilika watu wafanye kazi kwa mikatabaKweli msoto wa kitaa ni balaaa,yaani mtu anatamani mwenzake atoke aingie yeye
Hakuna Serikali yoyote duniani iliyoweza kuajiri watu wake wote,haitatokea.
Suala ni kwamba Serikali ifungue fursa zingine wengine wajiajiri huko.
Hata uliyeleta mada ukishaajiriwa huko hautapenda uondoke kwani siku hz hata hiyo miaka 60 wengi wanakua na nguvu zao fresh tu za kuendelea na kazi.
Kwa nini walimu wa sekondari na siyo shule ya msingi au vyuo vikuu?Na nyingine sema zina uzi wake mfano walimu wa secondary, wahasibu, watumishi wa halmashauri
Watakao salia na kuendelea na mfumo huu ni
- Walimu wa shule ya msingi
- Walimu wa vyuo vikuu
- Madaktari na manesi
Mtu mpaka Awe profesa ni mtiti kuna kaugumu huwezi mwajiri kwa mikatabaKwa nini walimu wa sekondari na siyo shule ya msingi au vyuo vikuu?
Reference yako ni dunia gani?Dunia inabadilika watu wafanye kazi kwa mikataba
Tanzania ndo itakua nchi ya kwanza kuanza na wengine watakuja kujifunzia hapaReference yako ni dunia gani?
Na walimu wa shule za msingi je?Mtu mpaka Awe profesa ni mtiti kuna kaugumu huwezi mwajiri kwa mikataba
Kwa hiyo dunia gani imebadilika?Tanzania ndo itakua nchi ya kwanza kuanza na wengine watakuja kujifunzia hapa
Kwamba dunia ya mwaka 2000 ni sawa na leo 2025???Kwa hiyo dunia gani imebadilika?
Then simple jibu lako lina akisi kwamba ambao hawana ajira za TRA waendelee kukaa huko huko mitahani maana si maisha yapo nje? Kwanini sasa waajiriwe ofisini.Mbona kuna watu hawajaajiriwa serikalini na wanaishi kuna maisha nje ya kuwa mfanyakazi wa serikali kama hao wengine wanaishi hata wewe unaweza
Kweli msoto wa kitaa ni balaaa,yaani mtu anatamani mwenzake atoke aingie yeye
Keki ya taifa kila mtu aifaidi jikite kwenye madaThen simple jibu lako lina akisi kwamba ambao hawana ajira za TRA waendelee kukaa huko huko mitahani maana si maisha yapo nje? Kwanini sasa waajiriwe ofisini.
Unadhani hizi kazi zpo tu kila kazi ya mkataba. Wewe jamaa are you mad.
Ofisi zina mambo mengi,
Retrenchment
Kuna succesion
Kuna Old aged workers
Kuna Kustaafu. Everything is arranged ni wewe tu unataka kufata nini na ofisi yako ambayo ni inalipa.
Hivi unajua gharama ofisi inachukua tu kuajiri watu 30 kwa mwaka.😂😂😂😂
Acha vitabu kaombe field hata serikali za mtaa ndio uone kwanini everything was arranged accordingly. Mamayo.