Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

Afande SIRRO ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA STAMICO no reform No election
 
Labda ungeandika wapewe mikataba ya miaka kadhaa kama mitano hivi, kama sekta binafsi ila sio upige kazi miaka 15 halafu ustaafu sijui unataka kusolve nini hapo .
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Labda ungeandika wapewe mikataba ya miaka kadhaa kama mitano hivi, kama sekta binafsi ila sio upige kazi miaka 15 halafu ustaafu sijui unataka kusolve nini hapo .
Nimesema mikataba ya miaka 15 nilichosema wale wenye miaka 50 wakati hii ikipitishwa waachiwe tu wamalizie miaka 10 iliyobaki wastaafu lakin kwa kijana aliyeanza kazi mfano 2025, 2010,2015 sio lazima astaafu akiwa TRA
 
Kwanini asistaafu akiwa TRA na ana sifa hizo mkuu. ?
 
Waende wapi waangalie ustaarabu mwingine
Unaweza kuwa na hoja ila maandishi yako yanaviashiria vya chuki kwa wafanyakazi wa TRA. Toa jibu hao ambao mkataba umeisha unashauri waende wapi baada ya kutoka TRA. Ukisema tu kirahisi waangalie ustaarabu mwingine inaonesha hujui au hujajipanga kutoa hoja yako kisawasawa.

Zipo njia nyingi za kuongeza ufanisi kazini unahisi zilizopo hazifai mpaka tukubaliane na wazo lako?
 
Wala hakuna cha chuki sababu watakao faidika ni wengi sana
 
Keki ya taifa kila mtu aifaidi jikite kwenye mada
Hiyo keki ya taifa unaiona huko TRA tu unakolalamikia na siyo kwenye taasisi nyingine? Kwanza mishaara ya TRA siyo mikubwa kivile sema wizi na rushwa ndiyo vimetamalaki. Kwa wewe kung'ang'ania TRA unamaanisha watu wakaibe huko kwa zamu.
 
Nimeshakuambia ntaongelea na kada nyingine acha haraka
 
Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi

Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
View attachment 3294091
Huo mfumo utahamasisha rushwa kwa kiasi kikubwa sana,tukubaliane kwamba mamlaka zinazohusika na kuajili siyo TRA tu bali kwenye taasisi zote za serikali zenye maslahi mazuri zitumie mifumo jumuishi ambapo kila mwenye sifa apewe nafasi. Na nafasi zikijaa tukubali zimejaa tutafute kwingine.
Umri wa kustaafu zingatiwe,kusiwepo habari za mikataba maalum.Haiingii akilini mtu anafanya kazi miaka 20-30 alafu asiandae mrithi wake,huo ni ubinafsi ukemewe.
 
Back
Top Bottom