Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

Point kubwa ni kuongeza ufanisi, kuwaondoa watu kwenye comfort zone, kuondoa ile hali ya mazoea ambayo inaua ubunifu kwa kiwango kikubwa
Kubadili wafanyakazi hakuongezi ufanisi wala uwajibikaji. Badala yake unaua kwa sababu mtu anajua yuko pale kwa short term. Uwajibikaji unaongezwa kwa usimamizi mzuri kazini. Kwa kukusoma tu inaelekea kuwa hujawahi kutoka nje ya Bongo. Ukija kupata bahati ya kutembelea nchi nyingine ndiyo utaokutana na watu waliokaa kazini mpaka karibu wanastaafu wakiwa na miaka 65 na ufanisi wao ndiyo umezidi kuwa mzuri. Hoja zako ni mfu na hujui tatizo hasa la utendaji mbovu Tanzania ni nini.
 
Ipo siku mtu atakuja na mawazo yake kuwa, Inabidi umri wa kuishi upunguzwe. Ukifika miaka kadhaa unyongwe au uchague kufa kwa hiari.
 
Kubadili wafanyakazi hakuongezi ufanisi wala uwajibikaji. Badala yake unaua kwa sababu mtu anajua yuko pale kwa short term. Uwajibikaji unaongezwa kwa usimamizi mzuri kazini. Kwa kukusoma tu inaelekea kuwa hujawahi kutoka nje ya Bongo. Ukija kupata bahati ya kutembelea nchi nyingine ndiyo utaokutana na watu waliokaa kazini mpaka karibu wanastaafu wakiwa na miaka 65 na ufanisi wao ndiyo umezidi kuwa mzuri. Hoja zako ni mfu na hujui tatizo hasa la utendaji mbovu Tanzania ni nini.
Ndo maana nimekuambia inategemea mfano waasibu, Secretary, watu wa it, afisa manunuzi hizi kada wanatakiwa wafanye kazi kwa mkataba

Ila madaktari, walimu wa shule ya msingi, na walimu wa vyuo vikuu hawa umri unavyozidi kuenda ndo wanakua bora

Kwenye video nimesema baadhi ya kada
 
Back
Top Bottom