Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi

Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
View attachment 3294091
Hili jamaa ni jinga kweli kweli. Na ndivyo walivyo vijana wengi wa kitanzania. i.e. kutatua matatizo kwa kuyasogeza. Halafu lilivyo jinga mpaka limejirekodi likidhani limetoa ushauri mzuri sana. Failure ya serikali ya CCM inafanya watu wabuni njia za kujinga kabisa za kutatua matatizo ya nchi yetu badala ya kuondoa the real problem ambayo ni uongozi ulishindwa. Angalau daini uchaguzi huru ili kuwe na competition itakaleta ufanisi.
 
Huo mfumo utahamasisha rushwa kwa kiasi kikubwa sana,tukubaliane kwamba mamlaka zinazohusika na kuajili siyo TRA tu bali kwenye taasisi zote za serikali zenye maslahi mazuri zitumie mifumo jumuishi ambapo kila mwenye sifa apewe nafasi. Na nafasi zikijaa tukubali zimejaa tutafute kwingine.
Umri wa kustaafu zingatiwe,kusiwepo habari za mikataba maalum.Haiingii akilini mtu anafanya kazi miaka 20-30 alafu asiandae mrithi wake,huo ni ubinafsi ukemewe.
Kwani sahivi hakuna rushwa
 
Hili jamaa ni jinga kweli kweli. Na ndivyo walivyo vijana wengi wa kitanzania. i.e. kutatua matatizo kwa kuyasogeza. Halafu lilivyo jinga mpaka limejirekodi likidhani limetoa ushauri mzuri sana. Failure ya serikali ya CCM inafanya watu wabuni njia za kujinga kabisa za kutatua matatizo ya nchi yetu badala ya kuondoa the real problem ambayo ni uongozi ulishindwa. Angalau daini uchaguzi huru ili kuwe na competition itakaleta ufanisi.
Jikite kwenye mada hayo mambo ya uchaguzi wataongelea wengine
Ajira za mikataba ni nzuri na zinafaida nyingi
 
Kwani ajira za sasa siyo za mikataba? Mbona mnakariri nyie watu? Kuhusu uchaguzi huru KILA MTU anatakiwa aongelee kwa sababu ndiyo chazo ya hili tatizo linalowakumba. Litaondolewa kwa uongozi imara wa nchi ambao unakuwa ni ushindani.
 
Swali hao vigogo wa TRA watakubali
Hoja yake nzuri sana, na vigogo hawana ujanja Kama nchi ikiamua

Swali kubwa ni kujenga confidence na experience Kwa new comers ilo wawe na uwezo wa kudeliver…. New staff mahala popote pale huwa wana learning curve
 
Kwani ajira za sasa siyo za mikataba? Mbona mnakariri nyie watu? Kuhusu uchaguzi huru KILA MTU anatakiwa aongelee kwa sababu ndiyo chazo ya hili tatizo linalowakumba. Litaondolewa kwa uongozi imara wa nchi ambao unakuwa ni ushindani.
Hilo la uchaguzi ongelea wewe hujakatazwa mimi nimetoa mtizamo wangu wafanyakazi wa TRA waajiriwe kwa mikataba na sio hao tu wengine wa kada nyingine ntawaandalia uzi
 
Watu wengi wafanyakazi wa serikali wapo kwenye comfort zone kubwa sana mikataba itaondoa hii hali
Hilo ni kweli,tuombe taratibu za kuingia huko ziwe za haki,lakini tusisahau ukweli kwamba serikali haiwezi kuajiri watu wote. Au tushushe umri wa kustaafu kisa wapo comfort zone hiyo itakuwa roho mbaya.
 
Kwa kifupi nimesema kuwa mzizi wa unachoongelea ni uongozi wa nchi hivyo wewe unajaribu kutumia nguvu ku deal na matokeo ya tatizo badala ya tatizo. Nkaonya kuwa deal na chanzo badala ya dalili. Wewe unang'ang'ania kuwa utaendlea ku deal na matokeo, kitu ambacho hakitaleta afuheni. Halafu nimezidi kwenda ndani ya tatizo na kukuuliza: kwani sasa hivi TRA hawaajiriwi kwa mkataba? Wewe unasema suluhisho ni kuajiriwa kwa mkataba, mbaona sasa hivi tayari wanaajiria kwa mkataba?
 
Hoja yake nzuri sana, na vigogo hawana ujanja Kama nchi ikiamua

Swali kubwa ni kujenga confidence na experience Kwa new comers ilo wawe na uwezo wa kudeliver…. New staff mahala popote pale huwa wana learning curve
Alafu italeta ubunifu kuna watu wengi sana wanafanyakazi kimazoea ila watu wanajiangalia wao binafsi ilihali ni mfumo utaokuwa na faida nyingi sana sio leo hata vizazi vijavyo

Kufanya kazi kwa miaka 15 ni mingi sana na inatosha kwa mtu kuajiriwa kwenye taasisi ya serikali wengi wanaopinga asilimia kubwa wanaogopa maisha
 
Hilo ni kweli,tuombe taratibu za kuingia huko ziwe za haki,lakini tusisahau ukweli kwamba serikali haiwezi kuajiri watu wote. Au tushushe umri wa kustaafu kisa wapo comfort zone hiyo itakuwa roho mbaya.
Hakuna sehemu nimesema itaajiri watu wote hapana itaongeza ufanisi
 
Watu wengi wafanyakazi wa serikali wapo kwenye comfort zone kubwa sana mikataba itaondoa hii hali
Nadhani hujui hata unachojadili tatizo lake haswa ni nini. Kla mfanyakazi wa serikali ana mkataba na mkataba unasema asipo-perform anavyotakiwa basi anafukuzwa kazi.
 
Kwa kifupi nimesema kuwa mzizi wa unachoongelea ni uongozi wa nchi hivyo wewe unajaribu kutumia nguvu ku deal na matokeo ya tatizo badala ya tatizo. Nkaonya kuwa deal na chanzo badala ya dalili. Wewe unang'ang'ania kuwa utaendlea ku deal na matokeo, kitu ambacho hakitaleta afuheni. Halafu nimezidi kwenda ndani ya tatizo na kukuuliza: kwani sasa hivi TRA hawaajiriwi kwa mkataba? Wewe unasema suluhisho ni kuajiriwa kwa mkataba, mbaona sasa hivi tayari wanaajiria kwa mkataba?
Hatuwezi wote pigania jambo moja
 
Nadhani hujui hata unachojadili tatizo lake haswa ni nini. Kla mfanyakazi wa serikali ana mkataba na mkataba unasema asipo-perform anavyotakiwa basi anafukuzwa kazi.
Mikataba inatakiwa ifanyiwe maboresho kwa kufupisha mda wa mtu kuajiriwa iwe miaka 15 kwa baadhi ya kada na wafanyakazi wa taasisi fulani mbona nimeweka wazi
 
Hatuwezi wote pigania jambo moja
The more the voices, the better. Kama unadhani kuna watu wamepangwa kupigania haki zako na wewe ukae kimya basi usilalamike unapoumizwa. Si ni wewe umekuja hapa unalalama na mimi nikakuambia unachotakiwa kufanya?
 
Mikataba inatakiwa ifanyiwe maboresho kwa kufupisha mda wa mtu kuajiriwa iwe miaka 15 kwa baadhi ya kada na wafanyakazi wa taasisi fulani mbona nimeweka wazi
Ikiwa miaka 15 italeta suluhisho gani? Hebu tufafanulie.
 
Alafu italeta ubunifu kuna watu wengi sana wanafanyakazi kimazoea ila watu wanajiangalia wao binafsi ilihali ni mfumo utaokuwa na faida nyingi sana sio leo hata vizazi vijavyo

Kufanya kazi kwa miaka 15 ni mingi sana na inatosha kwa mtu kuajiriwa kwenye taasisi ya serikali wengi wanaopinga asilimia kubwa wanaogopa maisha
Wa he Piga contracts Tunza 5 years subject to review wakiwa mwaka watatu tatu kazini

Serikali Ina mizigo mingi sana kwenye watumishi wake… na mara nyingi hao mizigo ndio walalamishi na wapika majungu

Au ipigwe rotation tu, watumishi wawe wanafanya rotation Kwa taasisi mbalimbali
 
Wafanyakazi mizigo ni wengi watu wanatakiwa wachangamshwe nchi yetu ni maskini alafu watu wamerelax kinoma
 
Back
Top Bottom