Dawa ya deni ni kulipa ,acha kutuletea ushuzi wako hapa.TRA,Tunajua mnatafuta Hela kwaajiri ya maendeleo yetu,ila kumtumia mteja meseji za malipo ya VAT,mara SITA Kwa siku sio jambo zuri! Angalieni mifumo yenu,inakuwa kero Sasa.
Hamia kule ambapo unaona haitakuwa kero kwakoTRA,Tunajua mnatafuta Hela kwaajiri ya maendeleo yetu,ila kumtumia mteja meseji za malipo ya VAT,mara SITA Kwa siku sio jambo zuri! Angalieni mifumo yenu,inakuwa kero Sasa.
Kalipe kodi kwa wakati we ndio umesababisha hiyo kero.TRA,Tunajua mnatafuta Hela kwaajili ya maendeleo yetu,ila kumtumia mteja meseji za malipo ya VAT,mara SITA Kwa siku sio jambo zuri! Angalieni mifumo yenu,inakuwa kero Sasa.