tra

  1. D

    DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana. Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA bandarini(TPA) na bandari kavu(ICDs). Wenzetu wa TRA wametugeuza customs agent kama mitaji wameset...
  2. TRA Call for Interview October 2023: Full List

    The Tanzania Revenue Authority (TRA) is pleased to inform the job applicants who passed the screening test and were selected for practical and oral interviews. The interviews are scheduled to take place from October 29, 2023, to November 2, 2023, with the eventual employment of successful...
  3. Interview za TRA hazijatenda haki

    Habari wakuu. Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview. Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua...
  4. Kodi ya mapato ya makampuni | corporate income tax (statement of estimated tax payable na final return of income)

    Statement of Estimated Tax Payable na Final Return of Income ni nyaraka mbili tofauti zinazohusiana na kodi ya mapato nchini Tanzania. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: Statement of Estimated Tax Payable (Taarifa ya Kodi Inayotarajiwa Kulipwa): Hii ni taarifa inayojazwa na mlipa kodi...
  5. Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

    Nafikiri kwa msafiri yoyote anayesafiri kwa kutumia either mabasi ya abiria au usafiri binafsi atakubaliana na mimi kuwa vyakula katika hoteli za njiani (stop overs) vinauzwa at a very premium prices. Sasa hoja yangu sio bei ya kuuzwa kwa vyakula hivyo, hoja yangu kubwa ni je, Serikali inapata...
  6. Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

    Habari wasaka ajira! Kuna tetesi ambao hazijathibishwa rasmi kuhusu kuitwa kwenye usahili wa mahojiano TRA!? Je ni kweli!? Tetesi zifuatazo bado hazijazibitishwa. 1. Kuwa wameita oral interview wale wa intern tu waliokuwa wanajitolea TRA. 2. Na Wameshachukua barua tayari kwa ajili ya...
  7. N

    Jinsi kuchelewa kwa matokeo ya TRA kunavyochelewesha utumishi kuita interview kwa fani za uhasibu na Manunuzi kwa MDAs na LGAs

    Habari wana JF! Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
  8. B

    Mgawo wa Umeme: Vifurushi vya TV, Kodi TRA zipungue

    Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12? Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile? Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile? Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale...
  9. Hivi haifai TRA wachukue kodi yao yote ya Petrol kule bandarini?

    deleted
  10. Hawa Form 4 & Form 6 wanaopata ajira TRA huwa wanaajiriwa sekta ipi?

    Wakuu habari za kazi. Ladies and gents, Naombeni kuulizaa na majibu yawe yakuridhisha wakuu tafadhalini. Hawa form 4 & form 6 wanaopata ajira tra huwa wanaaniriwa secta ipi wakuu na pia mshahara wa vijana hawa huwa ina range namna ipi? Mawazo yako yatafungua wengine wakuu karibuni.
  11. Ubadhirifu katika Risiti za EFD za TRA

    Hivi karibuni kumeibuka Hoja nyingi juu ya uhalali wa Risiti za EFD, kwa sasa EFD ndio risiti maalumu ya Bidhaa kuuza na kununua popote pale Nchini. Lakini risiti hizi zina utata kutokana na uhalali wake. TRA wana tovuti ya kuhakiki risiti hizi za EFD ambayo ni TRA RISITI lakini asilimia 80%...
  12. TRA yotoa ufafanuzi wa madai ya kutengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini usio halali

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha. Tunapenda kuufahamisha umma...
  13. Waziri Mwigulu: Ni marufuku kwa TRA kufunga Maduka

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwafungia maduka wafanyabishara wadogo ni changamoto inayochochea kuwepo kwa uingizwaji holela wa bidhaa za magendo nchini. Nchemba amesema hayo jana Jumatatu Oktoba 2, 2023 wakati akizungumza na wananchi...
  14. TRA kukadiria hadi pango sielewi

    Wadau kuna kitu hakipo sawa. Suala la TRA kukadilia kodi kwa kuangalia mtaji wako pamoja na unalipa pango kiasi gani kwenye biashara yako sio sawa. Chukulia una mtaji wa milioni 10, na kodi unalipa milion 3.6 kwa mwaka. Kimsingi hii hela ya kodi inatakiwa itoke kwenye faida ya biashara lakini...
  15. Ajira za TRA zina ubaguzi kwa watu wa Banking and Finance

    TRA wamewa-shortlist wenye digrii za Bank & Finance Kwa kigezo cha Finance, wamewaita kwenye usaili na namba za usaili wakawapa, Lakini siku ya Interview wakawatenga. Ajira za TRA kupitia utumishi hazijawahi kuwatenga watu wenye Elimu ya Finance, vijana wengi tunawafahamu wameajiriwa TRA na...
  16. TRA fanyeni kazi kwa weledi sio kwa uonevu na kisiasa

    Kuna malalamiko mengi sana TRA wako mtaani kukamata kamata magari ambayo hayajalipiwa Kodi ya Makadirio na kuna mengine yamelipiwa kodi tayari lakini mnalazimisha liingie YARD halafu mtu akienda kulitoa baada ya kua mmejiridhisha limelipiwa YARD wanadai walipwe 25,000 kwa siku au masaa hayo gari...
  17. Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

    Kabla sijafikiria vibaya, naomba nifahamu muda mlioingia na kutoka katika interview ya TRA UDSM, ahsanteni
  18. W

    Msaada wa Kupata juu ya Interview ya TRA

    Wadau JamiiForums, Naombeni kwa Yoyote anayeweza kunipa mbinu za kwenda dar kufanya interview Alafu nikimaliza nirejee kazini cku ya j3 maana interview yenyewe ipo dar na mm nipo singida. Je, kuna bus za ucku Dar to Singida? Naombeni maoni yenu.
  19. Usumbufu wa TRA kwenye kufunga ving'amuzi

    Ndugu wahusika kumekua na usumbufu mkubwa kwa kampuni zilizopewa tenda ya kufunga ving'amuzi kwa magari ya Transit. Bei hazieleweki, mtu akiamka ataviuza kwa 60,000/ siku nyingine mpaka inafika 80,000/ system zake zinasumbua, mda mwingine havisomi kwenye system. Vinaleta usumbufu sana kwa...
  20. M

    TRA interview question

    Habari wadau, NAOMBA MNISAIDIE MASWALI YA COMPLIANCE OFFICER FOR TRA WRITTEN INTERVIEW, ambao mmeshawahi kufanya. Pia naomba mnisaidie maswali ya ICT TECHNICIAN FOR TRA WRITTEN INTERVIEW.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…