TRA recently wame-update system yao, sasa kuna kitu kinaitwa Taxpayer Portal. Ni jambo jema ila limekuja na machungu yake.
Ni jambo jema sababu sasa unaweza submit tax audits, fanya VAT returns, SDL, PAYE, etc bila kufika ofisi ya TRA, unaweza assign tax consultant na wewe ukawa unaangalia tu...