trastuzumab haipatikani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Responded Ufafanuzi kuhusu: Upatikanaji wa Dawa ya Trastuzumab kwa Wagonjwa wa Saratani

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kutokuwepo kwa dawa ya Trastuzumab, inayotumika katika matibabu ya baadhi ya wagonjwa wa saratani. MNH inapenda kuufahamisha umma, wagonjwa na wadau wote kuwa dawa ya Trastuzumab...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwezi wa pili sasa Mama amekosa Dawa ya Saratani (IV TRASTUZUMAB 440mg) Muhimbili Upanga

    Mama yangu anaumwa Saratani anafanya clinic yake pale Muhimbili kila baada ya wiki 3 anachoma sindano zinazoitwa IV TRASTUZUMAB 440mg kwa kila baada ya wiki 3, hiyo dawa ukiwa na bima unachangia Shilingi 618,000 kila ukienda kuchoma bila bima ni Shilingi 1,230,000. Sasa yapata mwezi na wiki 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…