travel insurance

  1. B

    Zanzibar yaanzisha bima kwa wageni (US$44), kuanzia kutumika Septemba 1, 2024

    Zanzibar: Bima kwa wageni watalii US$44 kuanza 1 September 2024 Dk. Saada Mkuya Salum WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Saada Mkuya Salum amesema uwepo wa bima ya wasafiri kutaongeza kasi ya idadi ya watalii kufika Zanzibar na serikali kupata mapato...
  2. Chief Kibonde

    Nafanikishaje kupata travel insurance certificate, flight reservation, hotel reservation?

    Hello thinkers Salaam wakuu! Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION. Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda. Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
  3. Chief Kibonde

    Naomba mtu mwenye ujuzi wa kupata Travel insurance certificate, flight reservation, hotel reservation

    Hello, thinkers Salaam wakuu! Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION. Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda. Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
  4. budebajr

    Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

    Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
Back
Top Bottom