Tanzania imenyakua tuzo 4 katika Tuzo za Utalii zinazotolewa na World Travel Awards na Marekani, usiku wa kuamkia Oktoba 19, 2024.
Tuzo hizi zimetolewa jijini Nairobi nchini Kenya, huku Serengeti ikiendelea kuwa Hifadhi Bora ya Afrika kwa miaka sita mfululizo (2019, 2020, 2021, 2022, 2023, na...