Kwangu mimi hii habari inaonyesha positive legacy ya utawala wa JPM: pamoja na kwamba Tanzania haikufuata strict guidelines za WHO kuhusiana na corona (lockdown, masking, etc), Tanzania haipo kwenye red au yellow list ya nchi, kama Israel, zinazokataza raia wake kutembelea kabisa au kuzitembelea...