trending

  1. U

    Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana

    Nimefungua nimeona trending route Ni dar ,Kilimanjaro to all over the world. Nimefikiria ndugu zetu Kenya si watashikwa na tumbo la kuhara, kwakweli tumefungua dunia
  2. Mkaruka

    USHAHIDI: Kumbe Wasafi wanaboost YouTube Channels zao kupata views. Sijui tambo huwa zinatoka wapi wakati siyo natural trending !!!

    Ninaweka kama kumbukumbu tu !! Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!
  3. H

    Jeje ya Diamond Hadi sasa ipo 1 on trending

    Wimbo wa diamond imeendelea kuwa no 1 on trending YouTube Ina wiki 1 tokea itoke. Ngoma za darassa,Nandy pamoja na aslay zimeshindwa kufika no 1 ngoma zote hizo zimetoka kipindi kimoja na ngoma ya jeje. Ukiachana na Hilo ngoma ya jeje imefanikiwa kuchezwa na media kubwa za kimataifa Kama MTV...
  4. Waberoya

    Swali: Wimbo wa Gere haupo trending au umekuwa replaced na Jeje? Kwa nini haupo kabisa kwenye 50s

    Wimbo wa Gere ulikuwa Trend no. 1 juzi yu, na then umekuwa replaced no. 1 na Jeje Jeje kuwa no. 1 kwa popularity na power ya Diamond haina la kushangaza Ila iweje Gere umepotea kabisa? Ungekuwa angalau no. 3, 4, Hata 10, 30, hata 40.. HAUMO Wimbo kama wa haujanikomoa ni wa 49 sasa it makes a...
  5. Last Seen

    Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

    Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
Back
Top Bottom