Summary
Danadana zimeendelea kutawala juu ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar – Morogoro, baada ya kuahirishwa mara kadhaa kwa majaribio yaliyopangwa kufanyika mwaka huu.
Danadana zimeendelea kutawala juu ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande...
Nauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na Mh Polepole (MB) bado ipo?
Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.
Sabato njema!
Ukitazama picha hata mwanzo wa reli yake imeanzia station ya zamani hamna reli iliyoelekea bandarini
Pia hapo station reli yenyewe ipo juu sana naomba ufafanuzi nijue kuwa itakuwa ya kubeba watu tu ama na mizigo?
North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu iliyorushiwa.
Wachambuzi wa mambo wanasema jaribio hilo laonesha kuwa Kim Jong Un anaendelea kuboresha...
Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
Nakumbuka mwanzoni kwa mwaka huu nilikua kituo Cha mafuta fulani nikijaza mafuta...wakati natoka akatokea kijana mtanashati akanisimamisha akanambia.
'Bro samahani kwa kukusumbua mmepata breakdown kidogo gari yangu imeisha mafuta na Sina Ela maana nilikua nmepaki Kariakoo wezi wamevunja gari...
Nilienda likizo TZ kutoka hapa Dallas, Texas ninapoishi na kufanya kazi. Watu wengi walikuwa wananiambia tuna reli kama huko kwenu inakuja. Kitu ambacho hawajui Reli nyingi hapa sio za abiria ni za kiuchumi na zinabeba mizigo na mafuta kutoka sehemu mbalimbali kuja Texas kwa usafishaji wa...
Wakuu,
Kuna taarifa njia ya reli ya TAZARA imeharibika. no pictures please.
Upuuzi huu na mwingine kama migao ya umeme tutaisikia sana baada ya Dr. Magufuli lakini tujue kama ambavyo Dr. Magufuli hakuishi milele basi na huyu aliepo hatoishi milele.
Sisi Wananchi wa Tanzania hatutaki tozo bali...
Kazi hii inapatikana nchini Japan kutokana umati unaokwenda kazini nyakati za asubuhi kwa kutumia usafiri wa treni. Japan ni taifa linalochapa kazi, na huhakikisha kila mtu anafika kazini kwa wakati unaotakiwa.
Kutokana na wingi wa watu, Japan imewaajiri watu wenye taaluma ya kuwasukuma watu...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald...
Heshima yenu wapendwa,
Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage!
Safari yenyewe...
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
Treni mbili za abiria zimegongana nchini Pakistan mapema siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa.
Treni moja, Millat Express ilitoka nje ya reli kabla ya kugongwa na treni nyingine, Sir Sayed Express. Haijafahamika mara moja...
Sina hakika na badiliko lolote la ratiba lakini Treni kwa sasa inatakakuwa kama wagosi wa kaya walivyoimba, "tulizoe kusikia vijihoni".
Yale makelele ya lile limashine na vijioni kama vinadisiapia hivi, hebu wadau tupeni taarifa zozote, au wanafanya sevisi kidogo.
Zitakua zinatoka mitaani na kusafiri hadi mjini bila kusimama popote ili kuwahisha idadi kubwa ya wasafiri, jameni hii poa sana maana kuvusha maelfu ya wasafiri kwa muda mfupi hivi itachangia pakubwa kiuchumi, tunapoteza hela nyingi sana wakati tunaacha watu wanakwama kwenye mafoleni, kama...
Dereva wa Treni iliyobeba watu 160 Nchini Japan anakabiliwa na adhabu baada ya kuachia nafasi yake kwa dakika kadhaa ili kwenda kujisaidia
Dereva huyo wa miaka 36 aliumwa tumbo na alihitaji kwenda maliwatoni haraka hivyo alimuita Kondakta asiye na Leseni ya Udereva, na kumuachia treni kwa...
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji maendeleo hivyo Kanda ya Nyanda za Juu Jusini wamechoka kuwa washangiliaji.
Kadhalika Dr Tulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.