trump

  1. Webabu

    Trump amuomba Putin awasamehe wapiganaji wa Ukraine

    Hapa ndipo vita vilipofikia. Baada ya askari wa Ukraine walioingia eneo la Kursk mwaka jana kuzingirwa na kuwa karibu na kifo,raisi wa Marekani amewaombea huruma askari hao kutoka kwa raisi wa Urusi Akiandika kwenye mtandao wake wa Truth ,Trump amemuomba Putin awaache askari hao warudi kwao...
  2. X

    China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  3. Kijakazi

    Wapalestina kuhamishiwa a.mashariki-Trump plans!

    according to AP, D.Trump na Israeli wana mpango wa ku clear gaza na kuwahamishia wapalestina somalia, somali land na sudan. gaza kugeuzwa kuwa “riviela of the middle east” …
  4. S

    Nchi masikini: Kiongozi anapanda ndege Dar Es-Salaam, shangingi linakuja Dodoma kumpokea. Trump na Elon Musk, futeni misaada kwa nchi za Afrika

    Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi. Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao kwa kujilimbikizia mali kanakwamba wataishi milele huku wananchi wakiteseka...
  5. Setfree

    Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

    Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi: "Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye...
  6. KakaKiiza

    Walemnaoguswa na maazi ya rais Trump njoo hapa useme wewe umeathirika namna gani?

    Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya hovyo kwakipindi hiki kifupi! Karibu!
  7. Yoda

    Trump ayafanyia kampeni ya masoko magari ya Tesla ya Elon baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa

    Baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa za magari ya kampuni ya Tesla inayomilikiwa kwa hisa nyingi na kuongozwa Elon Musk, Rais wa Marekani Trump ameingia mzigoni akitumia ofisi ya Ikulu ya US, White House kuifanya matangazo ya kibiashara na kushawishi watu kununua magari ya Tesla huku...
  8. Yoda

    Trump apinga Marekani kununua umeme kwa nchi yoyote.

    Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
  9. Carlos The Jackal

    Baada ya Canada kulipiza Kwa kuweka ushuru wa 25% kwenye Umeme , Trump kaongeza Ushuru kutoka 25% Hadi 50% Kwa Chuma na Aluminum ya Canada

    Na Mwamba ndo kwanza anazidi kutoa Onyo!! Inawezekana kwa Trump, Dunia yote ikapigishwa Magoti.
  10. O

    Nia na madhumuni ya rais Trump ni yapi hasa?

    Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba hata walengwa wake wamekuwa wakimtolea nje. Mfano alianza na kutaka kuinunua Gaza,ikafuatiwa na kutaka...
  11. Ritz

    Maandamano ya kudai uhuru wa Palestina, Marekani hayatakoma pamoja na mkwara wa Trump

    Wanakumbi. Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil. ======================= Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC...
  12. Siri ya sifuri

    Trump ana wenge!anashusha heshima yake na taifa lake

    Salaam wakuu. Rais Donld trump wa marekani yupo kasi sana,anaunadi ukubwa wa taifa lake,anatamani kuwa na mamlaka mbele ya wenye mamlaka wenzie na anatumia nguvu na hadaa kuwaongoza viongozi wa mataifa mengine kufuata maono yake! Kabla mzozo wake na rais Zele wa ukreine haujapoa tayati...
  13. Webabu

    Ugomvi wa Trump na Zelensky pamoja na mataifa ya Ulaya ni kusema vita vimewashinda baada ya kutaraji kupata sifa za ushindi

    Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha. Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
  14. City Of Lies

    Trump aanza kudhibiti mamlaka ya Elon Musk

    Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano na Baraza lake la Mawaziri na kusema kwamba usemi wa mwisho juu ya sera ya wafanyakazi utatolewa na wakuu wa mashirika ya shirikisho, sio mkuu wa DOGE Elon Musk. Vyombo vya habari vya Reuters, Politico na CNN vimeripoti ripoti hii, wakinukuu vyanzo...
  15. Alvin_255

    Former President of Poland Lech Walesa Wrote the Following Letter to Trump

    Your Excellency, Mr. President, We watched the report of your conversation with the President of Ukraine, Volodymyr Zelensky, with fear and distaste. We find it insulting that you expect Ukraine to show respect and gratitude for the material assistance provided by the United States in its fight...
  16. Webabu

    Wananchi Gaza wasema hawatishiki na kitisho cha kuuliwa wote kilichotolewa na Trump. Hakuna kilichobaki kuhofia kukipoteza

    Mmoja wa waliothirika na hama hama ndani ya Gazi ni mzee Yasser Alsharafa ambaye alipohojiwa kuhusiana na matamshi ya hivi karibu kutoka kwa raisi wa Marekani, amesema hatishiki na maneno hayo kwani kwa sasa hana chochote cha kuhofia kukipoteza. Kwa sasa mzee huyo anashughulika na kuuza pipi...
  17. Ritz

    Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

    Wanaukumbi. Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine. Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa...
  18. Mi mi

    TRUMP: Sitizami soko la hisa

    Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19 Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili kuficha performance ya sera zake ? Huyu ni Rais Trump 2020...
  19. Titicomb

    Rais Trump maisha yake yapo hatarini. Sababu amechagua amani Ulaya na kukataa 'uliberali'

    Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili. Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya hawataki amani kati ya Ukraine na Russia. Wanataka vita sababu nchi zao nyingi ni maskini wa...
  20. Ritz

    Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano ya Palestina

    Wanaukumbi. ⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu" Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa yakitetea Wapalestina na Wazayuni wakidai kuwa maandamano haya ni "chukizo". Swali hapa ni: Je, ana...
Back
Top Bottom