Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza mipango ya kuzindua mtandao mpya wa kijamii, uitwao TRUTH Social.
Amesema jukwaa hilo "litakabiliana na jeuri ya kampuni kubwa za teknolojia ", akizishutumu kwa kunyamazisha sauti za wapinzani huko Marekani.
Kampuni ya Trump Media &...
A select committee of the US House of Representatives investigating the deadly Jan. 6 insurrection at the US Capitol has issued subpoenas to four of the closest allies of former President Donald Trump.
The subpoenas have been sent to Trump’s former chief of staff Mark Meadows, his onetime close...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amemtaka mrithi wake, Joe Biden ajiuzulu baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, pamoja na Ikulu ya Rais siku ya Jumapili.
Trump amemlaumu Biden kwa ‘kuruhusu’ Wataliban kutawala Afghanistan katika ushindi mwanana licha...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kesi dhidi ya Kampuni kubwa za Teknolojia za Google, Twitter na #Facebook pamoja na Watendaji Wakuu wake kutokana na marufuku aliyowekewa
Januari mwaka huu, Akaunti za Trump katika Mitandao ya Kijamii zilizuiwa kufuatia hofu ya Usalama wa...
Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi.
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa miaka 15 ulisaidia Watendaji kukwepa Kodi kwa kutoa marupurupu kama Ada ambayo yalifichwa kutoka...
30 June 2021
Weslaco, Texas
USA
Donald Trump rais wa zamani wa Marekani atembelea border / mpaka huko Weslaco jimbo la Texas na kupewa taarifa ya ongezeko la makosa yanayovuka mpaka (cross border crime). Eneo hilo la jimbo la Texas lipo jirani na Rio Grande (bonde) valley likipakana na nchi...
On Thursday, a New York court suspended Giuliani's license to practice law in the state for two years, making him the first attorney to experience professional consequences for perpetuating lies about fraud in the 2020 election.
The court found "uncontroverted evidence" that Giuliani had...
Bw. Trump alifungiwa na Twitter na Facebook mwezi JanuariImage caption: Bw. Trump alifungiwa na Twitter na Facebook mwezi Januari.
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amepingeza hatu ya Nigeria kuipiga marufuku Twitter - na kutoa wito nchi zingine zifuate mkondo huo.
"Pongezi kwa nchi ya...
Facebook imetangaza kumfungia aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump kutumia mitandao yake ambayo ni Facebook na Instagram hadi Januari 2023.
Wamefikia hatua hiyo kwa madai kuwa Rais Trump alichochea ghasia zilizotokea Capito mnamo Januari 6, 2021.
Aidha wamesema watakapomfungulia...
Yaani dunia ilikuwa shwari mpaka Trump mwenyewe akawa ndio gumzo. Establishment wamerudi madarakani vita vishaanza. Wakimuuliza Biden Netanyahu vipi anajibu Sisi tunateta Israel. I meant madarakani
Facebook imeamua kutofungulia akaunti ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump baada ya kufungiwa kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu.
Uamuzi huo unafuata baada ya Kampuni hiyo kuifungia akaunti za Trump za Facebook na Instagram kwa muda wa saa...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameanzisha tovuti yake ya mawasiliano kwa lengo la kuchapisha taarifa “moja kwa moja kutoka mezani kwake.”
Trump, ambaye alifungiwa katika mitandao ya kijamii kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu, anatumia...
President Donald J. Trump gives a fist bump to the press. (Official White House Photo by Tia Dufour)
Former President Donald Trump is planning to launch his own social media platform within the next few months, one of the 45th president’s senior advisors told Fox News Sunday.
“I do think...
Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari.
Rais Biden ndie Rais mzee zaidi kuwahi kuchaguliwa Marekani.
Source: THE INDEPENDENT
Urusi imeyaelezea madai ya idara za upelelezi za Marekani kuwa Rais Vladimir Putin huenda alisimamia juhudi za kujaribu kumsaidia Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani wa 2020 kuwa yasiyo na msingi.
Ripoti ya ujasusi ya Marekani iliyotolewa jana imeongeza maelezo mengine kwenye tuhuma kuwa...
Dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump.
Nawasilisha.
===
Fact check: Picha aliyoweka mtoa mada haihusiki na kuabudiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.