trump

  1. The Assassin

    Elon Musk: Twitter kumfungia Trump maisha haikuwa sahihi, aahidi kurejesha Akaunti ya Twitter ya Trump

    Bilionea Musk amesema kitendo cha mtandao wa Twitter kumfungia maisha aliekua rais wa Marekani Bw. Trump kwenye mtandao huo ilikua ni makosa makubwa na ameahidi akikamilisha mchakato wa kuinunua Twitter anamfungilia Trump. Bw. Musk yeye anajiita muumini mkubwa wa uhuru wa kujieleza usio na...
  2. K

    Elon Musk afanikiwa kuinunua Twitter

    Baada ya figisu figisu za muda mfupi kumzuia mkurugenzi mkuu wa kampuni ya space X na mtu tajiri zaidi duniani kwa paper assets bwana Elon Musk hatimaye amefanikiwa kuununua mtandao wa twitter Mpaka sasa makundi ya haki za binadamu hayaelewi twitter chini ya mmiliki huyo mpya kama itaweza...
  3. The Assassin

    Baada ya Trump, Bilionea Namba Moja Duniani Elon Musk anafikiria kuja na mtandao wake wa kijamii

    Baada ya Trump kuzundua mtandao wake wa kijamii mwezi uliopita, Tajiri Elon Musk anafikiria kuzindua mtandao wake mpya ambao utawapa watu uhuru kamili wa kutoa maoni. Ikumbukwe kwamba hata Trump analaumu kwamba mitandao iliyopo inaminya uhuru wa watu kujieleza, inapangia watu waandike nini...
  4. MALCOM LUMUMBA

    Donald Trump akimkemea katibu wa NATO Jens Stoltenberg kuhusu nord stream 2

    Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea, ambapo tulidhani inaweza kutokea vita kubwa lakini haikutokea. Kwenye hii video alikuwa anazungumza na...
  5. sky soldier

    Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

    Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua. Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
  6. S

    Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

    Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius). Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la...
  7. Suley2019

    Donald Trump arejea na mtandao wake

    Picha: Chapisho la kwanza la Trump kwenye mtandao wake Jukwaa la mtandao wa kijamii la Donald Trump, Truth Social limezinduliwa,kwa kiasi kidogo kwenye Apple App store nchini Marekani. Wachambuzi wamebaini kuwa programu hiyo inafanana na Twitter. Bw Trump alipigwa marufuku kutoka Twitter...
  8. kimsboy

    Trump 'aliiba' nyaraka za siri za serikali alipohama Ikulu ya White House

    Trump 'aliiba' nyaraka za siri za serikali alipohama Ikulu ya White House Idara ya Hifadhi ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa ya Marekani imetangaza kuwa, nyaraka za taarifa za siri zimepatikana kwenye maboksi 15 ya kumbukumbu za Ikulu ya White yaliyokuwa yamehifadhiwa katika nyumba ya aliyekuwa...
  9. Kasomi

    Rasmi Donald Trump aachia Mtandao wake kwa jina la Maga Hub - Truth Social Trump

    Aliyekuwa Rais wa Marekani, mtangulizi wa Joe Biden ndugu Donald Trump sasa na yeye aachia Mtandao wake kwa jina la Maga Hub Truth social Trump. Mtandao huo ulizinduliwa jana Tarehe 16/02/2022 Trump ambaye alikutana na masaibu ya kufungiwa kwa Baadhi ya Account zake katika mitandao mbalimbali...
  10. sky soldier

    Hillary Clinton alilipa majasusi kudukua mifumo ya Ikulu kupika skendo ya Trump kusaidiwa na Urusi uchaguzi wa 2016 (Russian Hoax)

    Kwa ufupi hiki kilichofanyika ni uhaini kwenye katiba ya marekani na adhabu pekee ni kifo. Mama Clinton alilipa majasusi waweze kuingilia mifumo ya mawasiliano kipindi cha kampeni kuingilia hoteli ya trump na baada ya kampeni kuingilia mifumo ya white house lengo likiwa ni moja kwa moja kufanya...
  11. sky soldier

    Angekuwepo Trump, Afghanistan ingekuwa chini ya Taliban? Kungekuwa na hii hali inayoendelea huko Ukraine / Russia?

    Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo aliyoyapa kipaumbele ni kupunguza misuguano ya uadui na kujikita zaidi...
  12. John Haramba

    Kiongozi wa juu wa Iran awakosoa Rais Biden, Trump asema wameharibu sifa ya Marekani

    Picha: Ayatollah Ali Khamenei Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump, kwa kuiharibu sifa ya Marekani. Ukosoaji huo wa moja kwa moja ni hatua ya nadra kufanywa na...
  13. eliakeem

    Marekani yakosa Wagombea Urais: Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem

    DT anaweza kuwa rais kwa mara nyingine tena Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem Kristyn Burtt December 30, 2021·2 min read Well, it looks like Joe Rogan has created a political firestorm by predicting that former First Lady Michelle Obama...
  14. beth

    Marekani: Mahakama ya Juu yamkataa Trump, yakubali rekodi za White House kutolewa

    Mahakama ya Juu Nchini humo imekataa ombi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Donald Trump la kuzuia kutolewa rekodi za White House kwa jopo linalochunguza vurugu zilizofanywa na wafuasi wake eneo la Bunge. Amri ya Mahakama inamaanisha zaidi ya Hati 700 zinaweza kutoa mwanga juu ya matukio...
  15. beth

    Iran yataka Trump ashtakiwe kwa mauaji ya Jenerali Soleimani

    Rais Ebrahim Raisi amesema aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapaswa kuwajibishwa kwa nafasi yake katika mauaji ya Jenerali Qassem Soleimani yaliyotokea miaka miwili iliyopita, au Iran italipiza kisasi Raisi ametaka kuundwa Mahakama ya Haki ambayo Trump, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
  16. T

    Tatizo siyo Ndugai kumkosoa mama hata Nancy Pelosi, Spika wa US alichana hotuba ya Trump mbele yake. Tumeanza kukopa juzi na jana Ndugai akiwa Spika

    Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee leo?
  17. MakinikiA

    Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji

    Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Mradi mpya wa Donald Trump wa mtandao wa kijamii umechangisha $1bn (£755m) kutoka kwa wawekezaji kabla ya kuorodheshwa katika soko la hisa. Taasisi ya habari na teknolojia ya...
  18. Jackal

    Donald Trump has accused Meghan Markle for using" Prince Harry"

    Donald Trump has accused the Duchess of Sussex of "using" Prince Harry and being "disrespectful" to the Queen in a wide-ranging interview. === Donald Trump has accused the Duchess of Sussex of "using" Prince Harry and being "disrespectful" to the Queen in a wide-ranging interview. Speaking to...
  19. Miss Zomboko

    Trump aiomba Mahakama kuzuia taarifa zake zisiingie mikononi mwa bunge

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, ameiomba Mahakama ya rufaa kuwazuwia wabunge wanaofanya uchunguzi wa ushiriki wake kwenye ghasia za Januari 6 dhidi ya jengo la bunge, Capitol, kupata taarifa kuhusu mazungumzo na matendo yake wakati huo. Kupitia mawakili wake, Trump anaitaka Makumbusho...
  20. Frumence M Kyauke

    Donald Trump - Truth Social itakuwa fundisho kwa mitandao inayonyima watumiaji uhuru wa kujieleza

    Mtandao wa Donald Trump "Truth Social" unaweza kutengeneza mamilioni au kughafilika! Umejikita kupeperusha masuala ya kisiasa yenye mashiko moto moto na kumpa rais wa zamani nafasi mpya ya uonevu Ukweli wa mtandao huu wa Kijamii umejikita kutengeneza pesa. Ajabu, pia unapiga marufuku "matumizi...
Back
Top Bottom