Moja ya tukio lililogonga vichwa vya habari katika mkutano wa Rais Donald Trump wa Marekani na Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine jijini Washington DC jana Jumatatu ni barua za wake wa marais hao, katika kutafuta amani ya Ukraine na Russia.
Kabla ya mkutano na viongozi wa Ulaya pamoja na...