Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma.
Ili linawakumba sana...
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450.
Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
Direct to point
Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula ruzukunza seikali miongo na miongo bila ya kuzaa matunda mfano posta, ttcl, tanesco, tazara, air...
Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida.
Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua nishati ambayo haitoshi kuundesha,licha ya kuepo kwa nguzo za umeme karibu.
Ni zaidi ya kero...
Hivi hii Kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema wanafanya maboresho...
Swali ni kwamba hayo maboresho gani ambayo hayaishi? Wakati mitandao mingine huwa...
TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu.
Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha ya kwanza haikatwi ya pili inakatwa ya tatu haikatwi.
Mara ya tatu usiku nilijaribu kununua bando...
TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu.
Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha ya kwanza haikatwi ya pili inakatwa ya tatu haikatwi.
Mara ya tatu usiku nilijaribu kununua bando...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara.
Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
Habari wana jamvi. Baada ya jana kuhoji juu ya wengine mlipataje huduma ya fiber ya ttcl walinifata inbox na kuomba niwatumie email. Nmewasiliana nao jana na leo wamenipigia mara kadhaa nikiwa naendesha na nlipotulia wakanipigia (zaidi ya mara6)
Mrejesho ni kuwa: eneo langu limejaa na hivyo...
Wana Jamvi, Habarini.
Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni. Nilijibu kuwa tayari nina maombi 17 yangu mwenyewe, na hizi ni order numbers. Waliniambia andika jina...
Waziri wa Habari, Mawasiliano, na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb), ameteua Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa mujibu wa Sheria ya TTCL ya mwaka 2017, Kifungu cha 7(2)(3) kikisomwa pamoja na Kipengele cha 1(1) cha Jedwali la Sheria hiyo...
Kweli sijui kama TTCL wanajielewa aisee. Unapopita maeneo mengi yenye mazingira mazuri na yaliyopendeza, unakutana na nyaya za TTCL zilizopita hovyohovyo, nyingine zikiwa zinaning'inia chini, huku nguzo zimepinda ovyo bila anayejali. NEMC wanapaswa kuwadhibiti hawa jamaa, maana inaonekana...
Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu.
Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
MAWASILIANO: Takwimu za Mawasiliano ya Huduma za Simu kwa Robo Mwaka (Juni - Septemba 2024) zinaonesha kulikuwa na ongezeko la Laini 4,137,981 za Mawasiliano ya Mtu kwa Mtu (P2P) na Laini Milioni 1.02 za Mawasiliano ya Mashine (M2M) hivyo kuwa na jumla ya Laini Milioni 80.7.
Kwa mujibu wa...
Kama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa.
Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia?
Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli huo ni za TTCL. Watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa kwa kutuma namba husika kwenda 15040, ambayo ni...
Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa mkurugenzi mpya wa TTCL bwana Marwa wamedokeza kufanya kushusha bei ya vifurushi amabavyo mwanzoni...
Juzi usiku ulifanyika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa taasisi na tawala zingine. Upande wa shirika la mawasiliano TTCL ameteuliwa bwana MOREMO CHACHA kutoka shirika la uzalishaji mali.
Je, huyu bwana ni nani anaijua historia yake?
Je, atayaweza majukumu ya kuongoza hili shirika mbalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.