TAARIFA KWA UMMA
Kufuatia Utenguzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania uliofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 23 Julai, 2024, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa...
Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:-
i. B.i...
Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo.
Mashirika aliyofanya Nape akiwa kama waziri yametoa pongezi na kujifanya wanajua sababu wakati rais pekee ndiyo anajua sababu...
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema limejipanga kuendana na kauli mbiu ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya "Tanzania ni mahali sahihi pa Biashara na Uwekezaji kwa kufungua milango ya kidigitali kwa wawekezaji na Wafanyabiashara ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi Zaidi...
Habari za muda huu Wanajamvi,
Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na nimeomba huduma ya kufungiwa internet nyumbani (fiber) na sasa yapata miezi sita ila sijafungiwa...
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router
Nina Smart TV yenye kuingia YouTube, simu janja ya kwangu, mke na wanandugu watatu (Simu 5). Pia Computer, CPU mbili kwa ajili...
Nimepita mtandaoni huko nimekuta hili shirika limeweka tangazo kwamba kutakuwa na maboresho leo usiku kuanzia saa 6 mpaka tarehe 28.
Maboresho hayo yatahusisha T-PESA, data(mliofunga faiba mjiandae kisaikilojia) SMS, kupiga simu, kununua salio, kutuma na kupokea pesa,
Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma
Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki?
Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako?
--
Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni kutoka serikalini.
Hata hivyo, hasara kwa shirika hilo imepungua kwa asilimia 94. CAG amesema shirika...
Ndugu zangu naomba mnipe ushauri kati ya Gofiber na TFiber (ttcl) ipi imetulia sana kwa maswala ya kucheza games online coz nataka nianzishe streaming.
Ipi uhakika ndugu zangu?
Habari wana JF,
TTCL kampuni ambayo ipo chini ya usimamizi wa serikali una changamoto ya kutumiwa zaidi na matapeli wanaojaribu kutapeli watu kupitia call/sms.
Kampuni kama hii ambayo ipo chini ya serikali tungetarajia kubwa ingefanya vizuri zaidi kwasababu chombo kinachosimamia pia (TCRA) ni...
Dar es Salaam. Takwimu mpya za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), zimeutaja mtandao wa simu wa TTCL katika nafasi ya mwisho kwenye kipengele cha ubora wa huduma, huku mtandao wa Tigo ukiongoza.
Katika ripoti ya robo ya nne ya mwaka 2023 iliyotolewa mwanzoni mwa wiki, kampuni ya TTCL...
TANESCO hawana jina zuri kwa sasa mbele ya wananchi kutokana na kukatika ovyo kwa umeme lakini hawa TTCL ni wa ovyo na wazembe kupindukia. Maeneo ya Oysterbay takriban mita miatatu hivi kutoka ofisini kwao kuna nguzo ya simu ilianguka yapata siku kumi hivi zimepita.
Hii nguzo imeangukia kwenye...
Habari Wana jamii,,nimeamua kuanzisha hii thread Ili kuelezea experience yangu na TTCL Fiber Ili iwe faida Kwa wengine wanaotaka kufahamu ..
Nitaelezea ufanisi wake kulingana na matumizi ya mtu husika..Miezi SITA iliyopita niliunga kifurushi Cha 55k ambacho ni 20MBPS. Hakuna installation fee...
Jamani sisi office huwa tunalipia TTCL Fiber internet kwa mwezi ile unlimited 55k and speed ipo vzuri ingawa kuna muda network inazinguaga.
Basi sasa, mwezi huu hatujalipia tumeamua kukausha, izo simu sasa kila siku kutukumbusha? Why? Jamani, hii ni kodi?Mnatudai?
Sisi hatujui kwamba Internet...
Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.
Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela.
Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza...
Habari ya leo wadau.
Leo nina kilio juu ya kampuni yetu ya TTCL. Kwa kipindi kirefu kampuni hii imeshindwa kabisa kushindana na makampuni binafsi yanayotoa huduma ya mawasiliano. Kushindwa huku binafsi nilitarajia waliopewa wajibu wa kuliongoza na kusimamia uendeshaji wake wangekuwa wabunifu na...
Kama ilivyo kwa taasisi za serikali kwa uzembe TTCL nao wamo. Nilienda 7SABA maonyesho nikakutana na maafisa nikakaribishwa vizuri na kutanfaziwa faiba mlangoni, nikaipenda. Nikaulizia taratibu nikaambiwa unajaza fomu anakuja savea na kuangalia eneo kisha unaletewa huduma. Nikauliza inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.