TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi.
Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge.
Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye...
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio...
Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-bkwa Wiki kimekuwa Cha 950 MB Kwa Ile ile 2,000/-
Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL?
Sababu ni hizi hapa
1. Watu wa kwanza kulaumiwa ni HUDUMA YA WATEJA wa ofisin za TTCL. Hawa wanasajili laini zetu na ndio wanakutana na matapeli kisha wanatuuza, Mfano ni huu Mimi...
lile shirika linaloshika namba 1 kwa kupendwa na watu wengi😝😝😝 katika masuala ya mawasilano hapa nchini, TTCL Corporation lipo njiani kufanya mabadiliko ya vifurushi vyao.
Mabadiliko hayo yanategemewa kufanyika mabadiliko ya vifurushi vyao ndani ya siku 3 zijazo kuanzia sasa😅😅
NB; Ukipita...
Kweli nyumbani kulianza kunoga, basi kadhaa tukarudi kwa machale, kukawa na ile huduma ua BUFEE (MPYA) ya kujipangie, yani kama nataka MB tu najichagulia na kama ni dakika tu, nachagua, na kama ni vyote najipangia kua MB ngapi, Dakika ngapi na sms ngapi, najiunga ninavyotaka.
Ila naona siku...
Habari za wakati wadau;
Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika
installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa...
Wasalaam
Ni mimi C.T.U nimekuja tena kwa mara ya pili leo nimeota ndoto ambayo nafikiri ni ndoto fulani ambayo nimeamua nije kuzungumza na nyinyi ndugu zangu TTCL
Ndoto yenyewe ni kuwa TTCL inatakiwa kutengeneza mabilioni ya fedha kutoka kwa watanzania na nafikiri ndio dhima kubwa ya Rais ...
Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru...
Found Applications port COM7
Found modem : E3372
Model : Huawei AuthVer 4 modem (New)
IMEI...
Noma sana wakuu, tarehe tajwa hapo juu 31.03.2022, shirika la serikali la mawasiliano litatupiga na kitu kizito sana kichwani, wanapandisha vifurushi.
Bufee inaweza kuondolewa maana inawatia hasara tu. Toboa night HAIRUDISHWI ng'o
Si mnakumbuka tuliambiwa tuhamie Burundi tukaanza kuleta...
Wakuu tarehe 12/03 nilijiunga na kifurushi cha sh 5,000/= kama kawaida yangu takriban miaka mitatu au minne hivi.
Na kila nikijiunga hupata ujumbe huu "Ndugu mteja, Umefanikiwa kuunganisha huduma yako ya Watumishi Pack Plus 2GB-100min-AllNetworks-100sms Monthly. Piga *148*30# kwa huduma zaidi"...
Najaribu kufuatilia hizi teuzi za viongozi naona watu wanatolewa na kurudishwa hadi najiuliza kwani nchi yetu haina kabisa sura mpya?
Yani inteligensia ya taifa imezunguka nchi nzima kutafuta vijana hata wasiokuwa serikalini ikakosa kabisa watu wa kuongoza hizo NHC au TTCL? Namaanisha vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.