Wale matapeli wengi siku za hivi karibuni wanatumia sana line za TTCL kuhadaa wananchi kama kujiunga na Freemason au ile fedha tuma kwenye namba hii.
Kama ujumbe hapa chini unavyo jieleza.
666)POLE NA KAZI JIUNGE NA MTANDAO MKUBWA WA FREE~MASON UMILIKI UTAJILI WA PESA NYUMBA MAGALI...
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Tanzania imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) liko katika hatari kubwa zaidi ya kunyang’anywa soko na makampuni mengine ya simu kutokana na upungufu wa mtaji.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Februari 16, 2022 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
Wakuu habari zenu.
Natumai mu wazima.
Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.
TTCL walinipa hii details.
Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.
Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.
Nikaamua kucheki...
Inawezekana usajili wa wateja TTCL una tatizo na imesababisha matapeli wengi kukimbilia huko. Msg za simu au upigaji simu wa kitapeli ambao ulishaachwa au umepungua sana kutumiwa kwenye mitandao mingine, kwa TTCL ndio kwanza imeshamiri. Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inavyopita chini inawezaje kusambazwa majumbani, inabidi machimbo yachimbwe majumbani ili kuvutiwa waya wa fibrea au inakuwaje?
Habari wakuu,
Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL.
Nawasilisha.
Huyu meneja wa masoko wa TTCL afukuzwe kazi
Serikali popote mlipo, maboss wa TTCL, na wizara ya mawasiliano huyu afisa masoko wa TTCL ni hatari kwa usalama wa uchumi wa taifa hili
Anatoa wapi ujasiri wa kutumika kuhujumu shirika namna hii?
TTCL ndo kwanza wamefufuka, wanahitaji kuwafikia...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limelemewa na deni la Sh403 bilioni ilhali mtaji ilionao ni wa Sh243.
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Japhet Hasunga amesema hayo jana Jumatano Oktoba 20, 2021 baada ya kuipitia ripoti ya Mdhibiti na...
Kwa wateja wetu wa nguvu.
Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi...
Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na gwiji wa ufuatiliaji wa miradi Omary Issa. Lakini pia naangalia wajumbe kama Zawadia Nanyaro alikuwa...
Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.
Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini.
Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi.
Karibu tukuhudumie
Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona.
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
Kuna mashirika ya Serikali kutokana na wajibu wake ni kama idara za Serikali. Yanatakiwa yagharamikiwe na hazina kuu. Yanafanywa mashirika ili kuweza kudhibiti matumizi na kwamba iwepo tija.
Ukitaka kugeuza TANESCO liwe la kibiashara moja kwa moja kwanza utapata muwekezaji gani? Lazima awe wa...
Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?
Hii kampuni inaenda shimoni wallah
Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine...
Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.
Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.
Hebu wajirekebishe.
ZIARA: Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL ikiwa ni ziara ya kuimarisha Mahusiano katika sekta ya Mawasiliano na kukuza biashara...
Dear customer, your balance has been used up, please recharge or order package, Dial *148*30# for more services.
Sms hii mmenitumia mara 527 kwaajili ya nini?
1. Customer care kuchelewa kupokea simu ya yako au kutokupokea kabisa.
2. Meseji kutofika kwa wakati au kutofika kabisa au kutoenda na hata ikifika ulipoituma usipate delivery report au meseji unaweza ukatuma muda huu ikifika baada ya masaa kadhaa au hata kesho yake.
3. Customer care kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.