Kiukweli inasikitisha sana Kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ambayo ilielekeza lines zote za simu zisajiliwe Kwa kutumia vitambulisho vya NIDA ilu ktambua watumiaji na kuepusha uhalufu lakini leo hii lines za simu hasa hasa za TTCL zinatumika sana kutapeli watu.
Kumekuwa na ongezeko la...
Hatimaye TTCL wameanza kukosa ubunifu kabisaaa
👉Now wapowapo tu ubunifu ni 0.05%. Badala ya kuumiza kichwa kuboresha huduma, wameenda kumsainisha Nandy kwenye lebo yao ya Rudi Nyumbani Kumenoga ili wazurure kufanya shoo mikoani.
👉Unapiga menyu yao ya kuangalia salio. Ujumbe unakuja kuletewa...
Haiwezekani nyie kila siku tu ni lazima muwe na tatizo la Kimtandao (hasa hasa) linalohusu Miamala yenu ya T-Pesa. Mbona mlikuwa hamna Upuuzi huu wakati Mwendazake Hayati Rais Dkt. Magufuli yupo Hai na Madarakani? Tuwaeleweje nyie TTCL?
Na kinachonipandisha Hasira zangu ni kwamba natambua nyie...
Habari za jioni wadau.
Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya SALES OFFICER . Ni maswali gani wanapendelea kutoa?
Asanteni sana.
Taasisi ambazo hazikuwasilisha hesabu zake kukaguliwa.
1. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
2. Kampuni ya Mbolea Tanzania
3. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
4. Mfuko wa UTT
5. Shirika la Magazeti Tanzania
6. Shirika la Posta Tanzania
7. Shirika la Reli Tanzania
8. Shirika la Simu Tanzania
9...
1. JOB TITLE: SALES OFFICER II - (10 POSTS)
● Sales/Marketing – (5 POSTS)
● Entrepreneurship – (5 POSTS)
7.2.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To ensure proper maintenance of customer documentations and records including sales data and monthly bills
ii. To provide first hand support to all...
TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha
Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...
Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
Na Mwandishi wetu - Zanzibar
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Dkt Faustine Ndugulile aipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania kwa kuboresha muonekano wa Vituo vya Huduma kwa Wateja nchi nzima ili kuongeza mvuto kwa wateja wa huduma za mawasiliano.
Amesema hayo katika hafla...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar. Pia katika uzinduzi huo alikuwepo Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation ndug. Waziri Kindamba
#RudiNyumbaniKumenoga
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile ameliagiza shirika la mawasiliano Tanzania TTCL kufuatilia madeni ya malimbikizo yote inayoyadai mashirika mengine ya Umma na yakishindwa kulipa hadi januari 31 yakatiwe huduma.
Huduma hizo ni simu na intaneti ambapo hadi sasa...
Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye.
Je, HGL yangu ya div 2 inatosha?
Au kuna somo inabidi niyareseat?
Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) zilipe shilingi bilioni 30 ndani ya mwezi mmoja.
Dk Ndugulile alitoa agizo hilo jana alipotembelea TTCL na kuzungumza na wajumbe wa Bodi...
Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na...
Jamani inakuwaje kuwaje ukitumia simu za mezani za ttcl mambo poa,hata kwa sie wa siku nyingi walileta mradi wa simu za box unadumkiza sarafu unapiga,nazo zikawa safi na wakaweza ila za mkononi zinasuasua,tatizo nini?bora waniajili nikaongezee nguvu.
Husiku na kichwa cha habari hapo juu,
Nimekua mteja wa TTCL muda sasa toka nilipoanza kutumia yapata miaka kadhaa. Mabadiliko mengi yakatokea mimi nipo tu. Kwa mabadiliko haya ya gharama za data zao naamini watampoteza mteja mmoja.
TTCL mna threads zenu humu ndani (JF) namna mtaboresha huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.