ttcl fibre

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania TTCL Fibre wana changamoto ya afya ya akili?

    Kama mnajua miundombinu yenu si rafiki kwanini mnaendelea kusambaza huduma zenu kwa kasi wakati kila mwezi lazima itokee hitilafu mara 10+ na hamshughulikii chap. Kwanini msiboreshe huduma kwanza kwa wateja mlionao kisha mtaongeza baadaye. Mmenikera sana kidogo niwatukane kmmk zenu nyie.
Back
Top Bottom