Kama mnajua miundombinu yenu si rafiki kwanini mnaendelea kusambaza huduma zenu kwa kasi wakati kila mwezi lazima itokee hitilafu mara 10+ na hamshughulikii chap.
Kwanini msiboreshe huduma kwanza kwa wateja mlionao kisha mtaongeza baadaye. Mmenikera sana kidogo niwatukane kmmk zenu nyie.